Magufuli’s post presidency...

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,252
113,646
To me it’s evident that President Magufuli lacks the requisite statecraft to be the commander in chief.

But right now that’s neither here nor there.

Let’s talk about his post-presidency, for a minute.

It’s well known how much he loves infrastructural projects.

So how about this:

Why don’t we create a new position, starting in 2026, post his presidency and utilize some of his strengths to better our infrastructure.

The Office of the Infrastructural Czar. That would be the overseer of all infrastructural development projects.

I believe Magufuli has already shown and proved that he is very well equipped for such a job.

He knows how to run a tight ship and crack the whip. He knows how to keep folks on their toes.

I think he would do well in that capacity because it is something very specific, not too complicated, and doesn’t require nuanced language to get things done.

I’d rest easy knowing that former President Magufuli got it and that most projects will finish on time provided that he is given all the tools, power, and authority to execute his job effectively.

What do y’all think about my idea? Sounds kooky?

Drop your comments below.

Deuces ✌🏿
 
Akishamaliza muda wake ni anatakiwa apumzike awe mshauri tu kwa atakayemuachia, kama atakayemuachia ataona kupata ushauri kwake!!
 

kumuita Magu jina lolote hakumfanyi yeye kuwa sio rais wako na ukoo wenu.hukumbuki ni wapi umeandika sababu unatililika tu huelewi unachokiandika sawa sawa.

Labda kama wewe kiazi baada ya kifanikiwa kubadirisha mchicha na Chinese, utaanza kuwatenga wenzako mtaani kisa wanakula maharage kila siku, lakini Magufuli haoni kwamba kuna nchi isiyo na umuhimu kwa tz, ndio maana anafungamana na yeyote muhimu tu awe anajitambua.

Narudia tena kuuliza sasa, wewe masikini ukikaa na tajiri unakuwa tajiri!!
 
Msuveni ndiyo mshirika wake mkuu
 
Masikini atakusaidia nini?
 
Aliomba lini mkuu au unaandika tu kwasababu ya kanuni ya huko utopoloni Bavicha.
 
Hivi umetumwaaaa Au ni nini ? ?
Naanza kupata wasi wasi mkubwa kwako

Umewazidi hata wapinzani wakongwe humu, unakuwa kama unashikiwa remote nyuma, kwani huyo Mzee kakufanya nini hasaa ? ?
Mzee yupi na nimemfanyia nini kibaya?
 

hakuna nchi specific inayoitwa beberu na jpm,labda kama unaijua hapa uitaje.
beberu ni mweupe yeyote mnyonyaji.

tunakubaliana katika win win situation,nipe nikupe.unapoanza kuingilia maswala ya ndani kwa kigezo cha kunipa msaada unageuka mbuzi beberu.maana unakuwa umejipa ubwana mkubwa.
 

Achana nae hajui ukiwa rafiki na tajiri,anaweza kukuambia how he get there...
 
Kwani hao weupe yeyote unaodai ni wanyonyaji hawana nchi?
 
wanazo nchi,lakini sababu sio msimamo wa nchi husika ndio maana nimekwambia hivyo.
Ni nchi ipi hiyo ambayo watu weupe wana msimamo wa kunyonya watu(kama mnavyowaita ni mabeberu) lakini nchi kama nchi haina shida kabisa na wala haina msimamo huo wa kunyonya watu na Magufuli anashirikiana na nchi hiyo vizuri kabisa lakini hao watu weupe katika nchi hiyo(mabeberu) hataki kushirikiana nao kwa sababu ni mabeberu na wanyonyaji?
 
Former Iranian President Mahmoud Ahmadinejad went to teach Engineering at the university after retirement. I think this is a good example.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…