Magufuli's loud silence on South Sudan crisis criticised

Hapa sijui hata atafanyaje maana Mahiga mwenyewe na ubobezi wake wa diplomasia sijui kama anamsikiliza ,mimi naona bora akae kimya tu asije akatoa kauli zake za wanaoleta fyokofyoko watashughulikiwa ,ataibomoa Sudan kusini badala ya kuisaidia
 
Mimi kama mwenyekiti nasema sijaribiwi..atakaenijaribu atakiona cha mtema kuni..
 
Hapa sijui hata atafanyaje maana Mahiga mwenyewe na ubobezi wake wa diplomasia sijui kama anamsikiliza ,mimi naona bora akae kimya tu asije akatoa kauli zake za wanaoleta fyokofyoko watashughulikiwa ,ataibomoa Sudan kusini badala ya kuisaidia
Mbona mnapenda kumchonganisha rais na kauli za kijinga yani taifa lote hili mnataka kuhadaa watu Rais anafanya kazi bila washauru. Huu ni ulimbukeni.
 
Hizo kauli huko kwa wenzetu hazifanyi kazi ,unakumbuka Jakaya alipomshauri Kagame akae na waasi wake meza moja wayamalize kilichotokea baada ya hapo kila mmoja anajua ,
"Marais wenzangu wamekosea sana kunichagua kuwa mwenyekiti......"
Cc lukesam
Kama kuisoma namba hata wasouth sudan wakae kwenye mstari tuisome wote!
 
Sasa magu afanyeje!!
Tuna matatizo yetu
Kuingilia nchi zingine zenye Machafuko ya muda mrefu kunaweza leta shida sana
Pia kikubwa hatujaombwa kufanya hivyo
 
Kuombwa? Kama mwenyekiti wewe ndo ingebidi utoe mwelekeo wa kutatua tatizo hili kama Jumuiya ya Afrika Mashariki!
Anyway lakini nina uhakika Rais wetu mtukufu atakuwa na plan zake mwenyewe kuhusu hili suala. Haiwezekani halimuumizi kichwa hata kidogo eti anasubiri kuombwa!
 
Mbona mnapenda kumchonganisha rais na kauli za kijinga yani taifa lote hili mnataka kuhadaa watu Rais anafanya kazi bila washauru. Huu ni ulimbukeni.
Halafu mkosoaji mwenyewe ni Msigwa.
 
Halafu mkosoaji mwenyewe ni Msigwa.
Hahahaaaa si waziri kivuli wa mambo ya nje na ushirikiano wa kikanda au?
Asipokosoa yeye nani akosoe?
 
Mbona mnapenda kumchonganisha rais na kauli za kijinga yani taifa lote hili mnataka kuhadaa watu Rais anafanya kazi bila washauru. Huu ni ulimbukeni.

Hata mtoto aliyezaliwa leo anajua kuwa ni mlopokaji! Kuna kipindi kitafika watu hawatajali vitisho! Asiyejaribiwa ni Mungu tu!
 
Hapa sijui hata atafanyaje maana Mahiga mwenyewe na ubobezi wake wa diplomasia sijui kama anamsikiliza ,mimi naona bora akae kimya tu asije akatoa kauli zake za wanaoleta fyokofyoko watashughulikiwa ,ataibomoa Sudan kusini badala ya kuisaidia
Watu kama wewe ningetamani mchapwe risasi tu mfe maana kwenu hakuna jambo la maana zaidi ya kumdharau rais
 
Mbona mnapenda kumchonganisha rais na kauli za kijinga yani taifa lote hili mnataka kuhadaa watu Rais anafanya kazi bila washauru. Huu ni ulimbukeni.
Angekua anafanya kazi kwa kufuata ushauri sukari isingepigwa Marufuku kuingia nchini ,Mary Nagu aliposema hakuna sukari nchini akafuatwa kuhojiwa na Takukuru ,kama vile hiyo haitoshi ni nani aliyemshauri kuitwa watoto wa watu Vi la za wakati ana mwanae anasoma kimiujiza hapo Udom ,
Bomoa bomoa imeishia wapi ? Mbona hatuoni Naura Springs ikibomolewa ? Ama jengo laTRA Arusha ?
Juzi sijui ni Shinyanga akasema ni marufuku mchanga kusafirishwa nje ,hivi angekua ameshauriwa na mwanasheria mkuu juu ya hii mikataba ya kinyonyaji angetoa kauli hiyo ....hayo yote yanatosha kunishawishi kwamba moja hafuati ushauri anaopewa ama wanaompa ushauri wanamwogopa ,

Huo unaosema uchonganishi ni upi hasa ??
 
Magufuli hata hili atahisi anajaribiwa

Bado tuna safar ndefu kumpata rais
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Watu kama wewe ningetamani mchapwe risasi tu mfe maana kwenu hakuna jambo la maana zaidi ya kumdharau rais
Ni wapi nilipomdharau ?? Nani asiyejua jamaa yenu anapenda kukurupuka ?? Nenda kachukue Gruneti uje nalo risasi haitoshi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Watu kama wewe ningetamani mchapwe risasi tu mfe maana kwenu hakuna jambo la maana zaidi ya kumdharau rais
Chuki yote hii ya nini? Kisa mwenzako katoa maoni yake? Tujifunze kuvumiliana jamani that is how nations are built!
 
Back
Top Bottom