Magufuli yupo wapi

Status
Not open for further replies.
Kwasiku 2. sasa sijaona ripoti ya kampeni ya ndugu Magufuli kwenye vyombo vya habari.amepotelea wapi?

Tupo tangu kale, CCM ile ile, wapinzani tupa kule...Maghufuli-#jembe-#jembe-,-#CCM-namba moja, naipenda mwenzio...
 
ilikuwa kidogo niweke thread kwa mara ya kwanza kwa swali ulilouliza!

Sisemi ni mgonjwa tunauliza yuko wapi?
 
Unataka ukamuombe akuteue uwe Mkuu Wa wilaya!? HAIWEZEKANI
 
Anapumzika apate nguvu mpya ya kumalizia ngwe ya mwisho.
 
Amepumzika,kwani kampeni lazima awepo yeye kila siku? Hapa ni kujipanga na kuchukua pumzi ya kumalizia wiki ya mwisho.....
 
nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari kupitia vituo mbalimbali tangu jana tarehe 10/10 nimeona zinarushwa za Edward Lowassa, Samia Suluhu, Maalim Seif, Babu Duni na Dr Shein. Wadau kwa anayejua Magufuli yupo wapi atujuze.........
 
Sina uhakika ila kuna habari kuwa yupo Nairobi kwa check up kidogo. Sasa kama ni tezi dume au jike sijui.
 
Kuna thread ilianzishwa kama tetesi kuwa kalazwa Nairobi ila mods wameiondoa fasta
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…