Niko mkoani Arusha hapa! Jembe Dr. Magufuli yupo hapa kikazi wizara ya ujenzi. Lakini wanainchi wa arusha wanahamu ya kumsalimia na kila anapopita watu wanashangilia rais rais. Ki ukweli jamaa bonge la jembe anakubalika kila kona. Check picha kidogo hapa chini.. Nitawaletea kila nitakacho nasa hapa mambo "aleselema"
Hao watu wanaomshangilia wao wana umeme? maana umeme kila siku ni mgao usiotangazwa na wananchi hatujui nini kinaendelea. Au hao wanaomshangilia ni wale ambao shughuli zao zimesimama kwa kukosa umeme hivyo hawana la kufanya zaidi ya kumshangila Magufuli?
Niko mkoani Arusha hapa! Jembe Dr. Magufuli yupo hapa kikazi wizara ya ujenzi. Lakini wanainchi wa arusha wanahamu ya kumsalimia na kila anapopita watu wanashangilia rais rais. Ki ukweli jamaa bonge la jembe anakubalika kila kona. Check picha kidogo hapa chini.. Nitawaletea kila nitakacho nasa hapa mambo "aleselema"
Yupo kikazi zaidi na kampeni hazijaanza na naona wapambe wanajitahidi kuwazuia.