Sasa anaanza kuhutubia, anasema leo kazi ipo. Anashukuru wafanyakazi kwa kumpa kura za kutosha, anasema hatawaangusha.
Anawashukuru wananchi wa Dodoma kwa kumpa kura za kutosha, anasema Dodoma ni kati ya mikoa mitano iliyompa kura nyingi.
Anasema atazungumza kwanza mpango wa miaka mitano halafu ndio atazungumza wanayotaka azungumze.
Anasema Serikali yake itajenga reli ya kati ambayo tayari China imekubali kutoa fedha.
Utekelezaji wa mpango huo utagharimu trilioni 107
Anasema wakati Mugaya anasema TUCTA hawakushirikishwa kwenye huo mpango alinong'ona na Mkoba kwamba mpango huu umetayarishwa na wafanyakazi, ina maana hamuwatambui?
Anasema watumishi wazembe, wabadhirifu na wala rushwa mwisho wao umefika
Anasema ripoti ya jana ni 10295 wanalipwa zaidi bilioni 11
Kwa miaka mitano wamelipwa zadi ya bilioni 696 ambazo zingeweza kujenga daraja la Kingamboni
Anasema alitegemea Mugaya na Mkoba wangekemea kwenye hotuba zao. Anasema watu wamelipa mishahara marehemu, wasitaafu na wafungwa. Anasema hawa ni mashetani, anasema anaomba aungwe mko alale nao mbele
Anasema hata kwenye madai ya watumishi kuna madai hewa. Anaomba avumiliwe aondoe hewa kwanza.
Anasema ndiyo maana anajiuliza kwa nini aliomba urais. Anasema wakati anahangaika kutafuta shule ili watoto wasome bure watu wanapanga hewa
Anasema kuna watu wanapotosha kwamba serikali yake inachukia watumishi, anasema wapuuzeni maana walishirikiana na watumishi hewa
Anasema hoja za Mugaya kwamba serikali haijahamia Dodoma, akasema alimuuliza Mkoba hivi ofisi yenu iko wapi? akajibu Mnazi mmoja Dar. Kumbe na ninyi hamjahamia? Kazi nyingine ngumu!
Kodi imepunguzwa toka 11% hadi 9% anasema baada ya hapo wataangalia jinsi ya kupandisha mishahara.
Mifuko ya hifadhi itapunguzwa ktk mwaka 2016/2017
Anaziagiza wizara zote kuangalia zote ziangalie ajira za watu wa nje. Kwani muuza chips, mwendesha roli, wafanyakazi wa hoteli lazima wajue kingereza? kwani ukisema yes na no mtu si ameshakula?