Magufuli: Watanikoma!

Mgombea wa urais kupitia CCM, John Pombe Magufuli amesema akichaguli kuwa rais, mafisadi watamkoma.

Source: Tanzania Daima.

Amuulize kwanza Waziri Mkuu wa Ugiriki Trispas. Atammegea ushauri.
 
Mgombea wa urais kupitia CCM, John Pombe Magufuli amesema akichaguli kuwa rais, mafisadi watamkoma.

Source: Tanzania Daima.

kwani unadhani na wao hawana mafile yake kuanzia udalali wa nyumba za serikali na barabara mbovu yakinyesha manyunyu tu zanaharibika
 
MAGUFULI ni fagio la chuma na Mwarobaini wa matatizo ya Watanzania tumuunge mkono
Tena wooote kwa pamoja kujumuisha UKAWA na ACT tumuunge mkno Magufuri. Lakini kura za ubunge tuwape UKAWA. Hapo Watanzania tutakuwa tumetenda haki. Mimi nashauri Mh. Lowasa agombee ubunge alafu Magufuri ampe Uwaziri Mkuu. Moto utawaka na patachimbika. Naomba EL unisikie na nakuomba ufanye hivyo mtakuwa mmetusaidia sana na kweli ndo tutajua kuwa CCM mna nia njema ya kujenga nchi hii. CCM HOYEEE, UKAWA JUUUUU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…