Magufuli: Watanikoma!


Makandarasi wanamjua kwa 10%
 

Ndani ya mfumo wa utwala wa ccm haitatokea kupatikana kiongozi aliye msafi kwani atalazimika kutekeleza matakwa ya chama.
 

Familia ya kambale haiwezi kamwe kuwa ya kamongo
 
Yawezekana magufuli akawa na nia njema ya kupambana na mafisadi na wahujumu uchumi tatizo mfumo atakaoukuta ccm ndo utakaomfanya aonekane si mtendaji mzuri.
 
haujui unachosema wewe nakuona kama mmoja wa watu wasio kuwa na matumini na Maisha ushauri wangu jenga maisha yako kwa kufanya kazi na si vinginevyo kwa kutegemea watawala.

Mkuu wewe ndio hujui unachokiandika na unaonekana unaandika kwa kutawaliwa sana na itikadi sana,kwani kwa kila mfanyakazi,mfanya biashara lazima ategemee uadilufu wa kiongozi aliye madarakani kwani kinachoboresha maisha ni jinsi gani kodi tunazo lipa zinatunufaisha vipi.
 
ccm ni chama kilicho oza kwa ufisadi.Labda wabadili chama
 
Kwan waliombeba ni wasaafi?

Miradi mikubwa ya Ujenz wa barabara na miradi mingine mikubwa ya ujenzi ni vichaka vya upigaji kw hao mafisadi....!
 
Yawezekana magufuli akawa na nia njema ya kupambana na mafisadi na wahujumu uchumi tatizo mfumo atakaoukuta ccm ndo utakaomfanya aonekane si mtendaji mzuri.
Ukisema mfumo atakaoukuta ccm una maana yeye hatoki ccm na hahusiki na mfumo uliopo. Kwa hili siyo kweli, mfumo uliopo na yeye ni mmoja wa huo mfumo. labda kama anaipinga ccm kimoyomoyo.
 
Mgombea wa urais kupitia CCM, John Pombe Magufuli amesema akichaguli kuwa rais, mafisadi watamkoma.

Source: Tanzania Daima.

Si hata huyu alisema kucheka kwake sio sababu ya kuwachekea mafisidi si tumeona kamaliza nao salama na kumkabidhi ambaye naye kaja na kauli hiyohiyo kama kwaida yetu watanganyika tunavyodanganyika kirahisi nao wameshatujulia subirini jezi si jana kaionyesha na kutamba kuwa safari hii wanakuja kivingine lakini uamuzi tunao wenyewe tunaamua baada ya mda tunaanza kulalamika sijui tukoje picha pia zatushinda kuzitambua ooh TANGANYIKA yangu\\\\\\\\\ kweli tutakoma
 
Magufuli hawezu fua dafu mbele ya Dr. Slaa, UKAWA wanashinda kirahisi mnoo..

Magufuli hakuwahi kuonyesha dhahiri kupinga ufisadi, umaskini, katiba kuchakachuliwa, etc etc

Magufuli hakufikia kimaoni na kimtazamo kupewa nchi, sbb yeye anatakiwa kupewa wizara tu...!!!

Hana NATIONAL wide view ya development.. hana kabisa, as well hana akili kubwa ya maendeleo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…