youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Mh. John Magufuli, ni wakati wa kuelewa nini kinaendelea katika harakati hizi za uchaguzi, sidhani kama una imani ya kushinda 25 October, kwa hali uliyokutana nayo kwenye kampeni zako najua dhamira inakushuhudia.
Sidhani kama unaamini utapata kura kutoka kwa watu waliokuwa wakisombwa na magari na kupewa sare za Ccm ili kwenda kuwaona akina Diamond.
Nadhani ni muda muafaka wa kujirudi kwa wananchi wako na kuomba kuungana na wanamabadiliko [kama watakukubali], litakuwa jambo la kheri kama utachukua maamuzi kama haya kabla ya october 25.
CCM imepoteza mwelekeo, usione kama wanaisupport ni kwa sababu wanafaidika kwa kipindi hiki cha kampeni lakini wanaccm wengi ni wanamabadiliko.
Naomba Wapambe wake mliomo humu Jf mkamshauri juu ya hili, huu uzi nimeuandika leo tarehe 07 October, siku 17 kabla ya uchaguzi kuna wengi wataona kama nimeuandika kiushabiki lakini MTAUKUMBUKA.
Nimalize kwa kusema kwa msisitizo kabisa HAKUNA USHINDI KWA CCM OCTOBER 25.

Last edited by a moderator: