Siku zotenimekuwa kinyume na watu wengi ambao huwashangilia baadhi ya mawaziri a serkali ya CCM,AMBAO HUONEKANA KAMA VILE WANAFANYA KAZI VIZURI SAANA!
Hii yote huwa ni ghiliba tu kwa Wtanzania na pengine kujitafutia umaarufu binafsi...ishu hapa ni kuwa tupo kwenye mfumo uliooza wala hawezi akasimsm mtu ambaye yupo humo ndani akasema yeye ni safi ,utakuwaje safi kwenye mfumo wa maji taka! Hata SITA na Mwakyembe siku yao inakuja .
mGUFULI ULIINGIIA KWENYE KENYE GIZA NA MSHUMAA ULITARAJIA NINI .
Kama wewe ni mjamja toka uje CUF Tujenge NCHI YETU ! Huko ni mwendo wa kuwang.ata wajinga na kuwapuliza huwezi!
Yaani aruke mk*j* akanyage m*v*!!!! . Umesema vizuri mwanzo ukakoseamwisho......watu kama Maguful;i hawezi kuwa CCM na wakafanya kazi. Ngoja tuone kama naye atafyata...na kuamua kula nao tu.
Siku zotenimekuwa kinyume na watu wengi ambao huwashangilia baadhi ya mawaziri a serkali ya CCM,AMBAO HUONEKANA KAMA VILE WANAFANYA KAZI VIZURI SAANA!
Hii yote huwa ni ghiliba tu kwa Wtanzania na pengine kujitafutia umaarufu binafsi...ishu hapa ni kuwa tupo kwenye mfumo uliooza wala hawezi akasimsm mtu ambaye yupo humo ndani akasema yeye ni safi ,utakuwaje safi kwenye mfumo wa maji taka! Hata SITA na Mwakyembe siku yao inakuja .
mGUFULI ULIINGIIA KWENYE KENYE GIZA NA MSHUMAA U
atoke timu A aende timu B si ndio? Cuf na ccm ni pande 2 of the same coin!
maghufuli anatakiwa aripoti cdm bila kuchelewa maana hapo alipo malengo yake na ndoto zake haziwezi kutimia.
Njoo cdm kwa watu wa kazi wenye nia ya kutetea wanyonge wa tanzania na kuwatumikia watanzania bila rushwa, ufisadi na wizi,chupa ndg bado mapema tupange mikakati!!!!!!!!!
mGUFULI ULIINGIIA KWENYE KENYE GIZA NA MSHUMAA ULITARAJIA NINI .
Kama wewe ni mjamja toka uje CUF Tujenge NCHI YETU ! Huko ni mwendo wa kuwang.ata wajinga na kuwapuliza huwezi!
Acheni uzushi ndugu zangu, huu ni uchonganishi au fitna ndugu zangu. Tujifunze kusikiliza na kusema uhalisia bila kuingiza matakwa yetu au yaliyomo kwenye akili zetu.
Viongozi wa vyama vingine umewajuaje na hatujawapa hiyo chance!Ukweli ni kwamba tusijidanganye. Serikali yoyote ile corruption itakuwepo, ata ya hiyo CHADEMA yenu. Kitu ambacho viongozi wa CCM wameshidnwa ni kuwa na political will (ambayo chadema seems to have, at the moment) and to an even more catastrophic effect, wameshindwa kuweka institutional framework yakubana corruption. Hapa ndipo tatizo lilipo. Watanzania wanalalamika viongozi wao wezi, lakini (morality notwithstanding) watanzania wenyewe ni wezi wazuri tuu, tena hawana ata haya. Nilikua naangalia post hapo kwa bwana issamichuzi ya ajali ya wanataarabu, nilichoona ni yale yale yanayotokea nchi hii kila kona. Watanzania, tena haswa hao wanaoitwa wanavijiji sijui wakulima wanatabia yakuiba kwenye ajali na ata kumalizia majeruhi ili waibe. Watu 12 wamekufa lakini kuna watu wanascavenge kama fisi kwenye ajali. Hao ndio aina ya watanzania ambao viongozi wetu CCM na ata vyama vingine given the chance, wanawawakilisha. People who behave like animals? Wafanyweje?
Mara CUF mara CHADEMA..guys give him a break.Mwenyewe ni smart enough na anajua anachokifanya.Wewe kama unaona kuwa chadema au cuf ndiyo kutetea wanyonge just carry on.Muacheni Magufuli aendelee na shughuli zake.[/QUOTE]
hapo kwneye red ulimaanisha shughuli binafsi au?maan shughuli nyingine wamemwambia aache kutafuta sifa,yani alianza waziri mkuu akamalizia rais mchakachuaji...wamemwacha uchi..huwezi kuwa safi kama upo ccm..never..
Siku zotenimekuwa kinyume na watu wengi ambao huwashangilia baadhi ya mawaziri a serkali ya CCM,AMBAO HUONEKANA KAMA VILE WANAFANYA KAZI VIZURI SAANA!
Hii yote huwa ni ghiliba tu kwa Wtanzania na pengine kujitafutia umaarufu binafsi...ishu hapa ni kuwa tupo kwenye mfumo uliooza wala hawezi akasimsm mtu ambaye yupo humo ndani akasema yeye ni safi ,utakuwaje safi kwenye mfumo wa maji taka! Hata SITA na Mwakyembe siku yao inakuja .
mGUFULI ULIINGIIA KWENYE KENYE GIZA NA MSHUMAA ULITARAJIA NINI .
Kama wewe ni mjamja toka uje CUF Tujenge NCHI YETU ! Huko ni mwendo wa kuwang.ata wajinga na kuwapuliza huwezi!
Viongozi wa vyama vingine umewajuaje na hatujawapa hiyo chance!