NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
Uchaguzi wakati wa Kikwete ulikua hivihivi, watu wakamsema sana mwisho wa siku akapita na asilimia za kutosha.. I hope ntaona mabadiliko mwaka huu ila don't expect too much, kila mtu anajua kura atampigia nani, maneno ya nje nje haya tunaongea tu kujifurahisha... Don't get me wrong, I really hope CCM iondoke madarakani even though simkubali EL, sababu yangu ni mmoja tu, tutakua na kitu kipya finally tanzania, hiyo italeta mwamko sana kuanzia chini hadi juu, people will try to change their ways labda watanzania finally wataamka maana sasa hivi wengi wamelala na CCM ikipita coz hamna jipya wengi bado wataendelea kulala
Kikwete Kasema Tutakiona Cha Mtema Kuni,tusubiri Akikabidhi Ikulu Kwa UKAWA
Pole Kwa kushinda vjweni mnajadili siasa wakati familia zinashinda njaa.cjaona m2 yeyote anajadili jinsi ya kupata pesa nyote ,,,,,,

Nimeipenda mkuu goli la mkono ni mpaka ukaribie golini, well saidKatika tafiti zote zilizopita ilionekana Lowassa anaongoza na Dr Slaa anamfuata kwa karibu. Maghufuli hata kwenye tano bora alikuwa haonekani, sasa imani ya kushinda inatoka wapi?
Baada ya Lowassa kuchukua fomu ya Ukawa Maghufuli akapotea hata kwenye media na mikutano yake huko Mtwara ilikuwa kama ya mgombea udiwani. Jeuri ya ushindi inatoka wapi?
Pamoja na kitengo kupenyeza lupia kwa Ukawa kwa lengo la kuvuruga bado Ukawa wamebaki wamoja na wanasonga mbele. Majigambo yanatoka wapi?
Sina hakika kama Maghufuri anaweza kupata kura laki moja mikoa ya Arusha na Manyara. Lakini je Lowassa hatakomba kura za kutosha Geita? Hilo linahitaji miwani kuliona?
Ccm inabomoka kila siku, wanachama wanakimbia kwa maelfu. Wanategemea goli la mkono! Goli la mkono wakati unachezwa nusu uwanja?
Sikujua Wamarekani na Wachina siku hizi wanapiga kura Tanzania. Wao wanaona maslahi yao yanalindwa na CCM.Wamarekani Na Wachina Wametabiri kuwa Magufuli atashinda.
Sasa hapo watu wa ukawa mkae tayari kupokea Kichapo kitakatifu kutoka Kwa Polisi iwapo mtapinga matokeo.
Hii nchi mali ya Watu. Hivi nyie Watz mpk leo hamjaliona Hilo?
Katika tafiti zote zilizopita ilionekana Lowassa anaongoza na Dr Slaa anamfuata kwa karibu. Maghufuli hata kwenye tano bora alikuwa haonekani, sasa imani ya kushinda inatoka wapi?
Baada ya Lowassa kuchukua fomu ya Ukawa Maghufuli akapotea hata kwenye media na mikutano yake huko Mtwara ilikuwa kama ya mgombea udiwani. Jeuri ya ushindi inatoka wapi?
Pamoja na kitengo kupenyeza lupia kwa Ukawa kwa lengo la kuvuruga bado Ukawa wamebaki wamoja na wanasonga mbele. Majigambo yanatoka wapi?
Sina hakika kama Maghufuri anaweza kupata kura laki moja mikoa ya Arusha na Manyara. Lakini je Lowassa hatakomba kura za kutosha Geita? Hilo linahitaji miwani kuliona?
Ccm inabomoka kila siku, wanachama wanakimbia kwa maelfu. Wanategemea goli la mkono! Goli la mkono wakati unachezwa nusu uwanja?
baada ya utafiti
kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita
ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 10%
nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%
coastal
magufuli 60%
lowasa 39%
zanzibar
magufuri 53%
lowassa 47%
kaskazini
lowasa 60%
magufuri 32 %
kanda ya kati;
magufuri 59 %
lowasa 32%
ziwa magharibi
magufuri 80 %
lowassa 12 %
ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;
ccm 62 %
ukawa 38 %
Division five kazin.sasa pesa na maendeleo vitapatikanaje kwene mfumo mbovu.
Hizi tafiti za kupikwa ni za ajabu sana. CCM haiwezi kushinda Musoma na Mwanza, hiyo najua for a fact.baada ya utafiti
kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita
ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 10%
nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%
coastal
magufuli 60%
lowasa 39%
zanzibar
magufuri 53%
lowassa 47%
kaskazini
lowasa 60%
magufuri 32 %
kanda ya kati;
magufuri 59 %
lowasa 32%
ziwa magharibi
magufuri 80 %
lowassa 12 %
ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;
ccm 62 %
ukawa 38 %
Sikujua Wamarekani na Wachina siku hizi wanapiga kura Tanzania. Wao wanaona maslahi yao yanalindwa na CCM.