East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,211
Safari hii uwanja wa Taifa hautatosha kumwapisha Magufuli.Magufuli kura atakazopata zitavunja rekodi ya maraisi wote kasoro Nyerere.Atapata kura ailimia 80 kwenda juu.Wana CCM tusijitie unyonge kwa kelele za UKAWA ushindi ni wetu kwa namna wagombea wetu wanavyouzika huko majimboni. Tujiandae na sare zetu kusubiria kuapishwa kuanzia Rais, wabunge na madiwani.
kwa akina magufuri wauzaji nyumba za serikal , joka lenye makengeza, millions of money aka hela ya mboga, mwakyembe mabebewa fake?. kama ni hivyo twafaaaa!.CCM imerudishwa kwa wazalendo na wanyonge walioijenga.
CCM imeondolewa kwenye makucha ya matajiri na mafisadi na sasa ccm ni wamoja kama mchwa.
CCM imerudishwa kwa wazalendo na wanyonge walioijenga.
CCM imeondolewa kwenye makucha ya matajiri na mafisadi na sasa ccm ni wamoja kama mchwa.
CCM imerudishwa kwa wazalendo na wanyonge walioijenga.
CCM imeondolewa kwenye makucha ya matajiri na mafisadi na sasa ccm ni wamoja kama mchwa.
Huwezi linganisha pato la south Africa na la Tanzania huo ni ujuha
SIKU moja baada ya matokeo ya utafiti wa taasisi huru ya Twaweza kuonesha kuwa anapaa katika urais, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ametamba kupata ushindi wa tsunami.
Aliamua kutembea kwa gari, kutembea katika barabara mbovu, kwani uwezo wa kutembea na helikopta anao, angeweza kwenda kwa helikopta, lakini aliamua kutembea ili kujionea hali halisi, ili akifika Ikulu akumbuke shida za Watanzania na akafanye kazi ya kuwatumikia, alisema Dk Magufuli.