Magufuli siyo dikteta, hajawahi kuwa dikteta na hana mpango wa kuwa dikteta

Wanajf habari za frustrations za maisha?

Kuna habari zisizo za ukweli zinamchafua Rais wa Tanzania kuwa ni dikteta, nitaweka sababu zangu za kwanini magufuli siyo Dikteta,

1.Vijana wengi wamezaliwa kipindi cha Mkapa hawaqkujitambua na wamejitambua na kujua mambo ya siasa kipindi cha Kikwete, Kwa bahati mbaya Tanzania huwa tuna Miaka kumi ya kazi na miaka kumi ya likizo, wenye akili mmenielewa, Kwa mtu aliyeongozwa na Nyerere, Aliyeongozwa na Mkapa na ambaye kaongozwa na Magufuli atajua nasema nini,

Najiuliza kwanini Moringe Sokoine au Mrema hawajawahi kuitwa madikteta wakati ukali wao ulipitiliza mpaka kwa Magufuli? Au ni kwakuwa hawakuwa marais udikteta tunaupima kwa upande wa Rais tu?

2. Watanzania wengi ni wazembe hasa kizazi cha smart phones, wanataka mziki masikioni hawataki kufanya kazi wanataka kuwa wakukaa nyumbani tu na kulishwa tu bila kutumika ipasavyo,
hivo anapotokea mtu wa kuwarudisha kwenye reli lazima mseme ni dikteta,

3.Kupuuza sheria ulikuwa ni mchezo uliozoeleka Tanzania na kupuuzaa taratibu za nchi sasa akija Chuma cha kuwanyoosha wanasema ni dikteta

4. DW ni ka media ka propaganda za kijinga sana na hawana hoja za msingi kusema magufuli ni Dikteta, si wajiulize swali je Magufuli ameshafika hata robo ya Hitler? aliyekuwa rais wao? wanawashwa nini na mambo yasiyowahusu?

KUPITIA MATENDO HAYA YA MAGUFULI NAJUA KWAMBA HUYU MZEE SI DIKTETA KAMA WANAVYOSEMA

1.Hakuna Dikteta anapendwa na watu wake kama Magufuli wanavyompenda,

2.Hakuna kiongozi ambaye ni dikteta ambaye anaweza kutamaniwa na nchi jirani kuwa kiongozi wao, ni kama mabavyo Tanzania hatukuwahi kutamani iutawaliwa na AHMED KHAZAI au Idd amini Au mobutu, lakin uko nje watu wanapigana vikumbo kumjua na kumtaka Magufulia aongoze walau siku kadhaa nchini mwao

3. Dikteta hawezi kukuacha umemuotea kufa

4.Dikteta hawezi kukuacha umekwamisha michakato ya maendeleo

5.Dikteta hawezi kuyakuta magari bandarini yanayojifanya kutokuwa na mwenyewe akayaacha lazima ayagawe bure au apeleke kijijini kwake,

6.Dikteta hawezi kubana matumizi akajenga hosteli halafu wachache wakapotosha kwamba kuna expansion joint halafu akawaacha wanazagaa huyo ni dikteta gani sasa?

7.Dikteta hasingeacha media ziendelee kuandika ukwasi juu yake au habari hasiyopenda yeye, mfano ni Rwanda au Pakistani kaulize kama kuna ujinga uo, navyokwambia kuna website hazifanyi kazi uko wala whatsap calls hakuna na hazina end to end encryption

8.Dikteta hawezi akakuuliza swali ukajibu hovyo kama yule wa Bukoba akakuacha

9.Zaidi dikteta hawezi maliza miezi 24 madarakani bila kuua mtu hadharani kuwatisha wengine

10.Dikteta hawezi husisha vyombo vingine katika maamuzi ya juu mfano Bunge na mahakama

11. Dikteta gani atavumilia meya aseme amepokea simu yake ya kumrubuni Mnyika na atamuaibisha? labda awe dikteta uchwara , narudia Magufuli si dikteta

Magufuli si dikteta ila anawanyoosha tu

Brittany
Wasome historia ya Ghana baada ya mapinduzi ya mwaka 1979 baada ya General Rawlings kuchukua madaraka vita dhidi ya ufisadi waliuwawa watu wangapi wakiwemo marais wastaafu huo ndio ulikuwa udikteta lakini pamoja na hayo Rais Mstaafu Jerry Rawlings leo ni mtu wa heshima kubwa huko Ghana na duniani kwa kufuta ufisadi nchini Ghana.
Kumwita Rais Magufuli kuwa Dikteta ni upungufu wa akili je watanzania wangeendelea kuona viongozi wachache wa CCM na Upinzani wakila bata huku watanzania wanakosa maendeleo yeyote. Leo kila kona ya Tanzania tunaona miradi mbali mbali ya uhakika ikifanyika kwa manufaa ya watanzania wote.
Kuja kwa Rais Magufuli ni ilikuwa kuiokoa Tanzania kutoka kwenye makucha ya mafisadi. Ni uhakika nia yaRais Magufuli ni hapo baadaye kutujengea demokrasia ya ukweli sio za sasa hivi kwa vyama vya kisiasa vya kitapeli.
Allah ambariki Rais Magufuli na ampe maisha marefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuja kwa Rais Magufuli ni ilikuwa kuiokoa Tanzania kutoka kwenye makucha ya mafisadi. Ni uhakika nia yaRais Magufuli ni hapo baadaye kutujengea demokrasia ya ukweli sio.
Allah ambariki Rais Magufuli na ampe maisha marefu.[/URL]Ghorofa la BASHITE na Maburungutu ya JIWE yanafanya kazi kikamilifu.
 
Wanajf habari za frustrations za maisha?

Kuna habari zisizo za ukweli zinamchafua Rais wa Tanzania kuwa ni dikteta, nitaweka sababu zangu za kwanini magufuli siyo Dikteta,

1.Vijana wengi wamezaliwa kipindi cha Mkapa hawaqkujitambua na wamejitambua na kujua mambo ya siasa kipindi cha Kikwete, Kwa bahati mbaya Tanzania huwa tuna Miaka kumi ya kazi na miaka kumi ya likizo, wenye akili mmenielewa, Kwa mtu aliyeongozwa na Nyerere, Aliyeongozwa na Mkapa na ambaye kaongozwa na Magufuli atajua nasema nini,

Najiuliza kwanini Moringe Sokoine au Mrema hawajawahi kuitwa madikteta wakati ukali wao ulipitiliza mpaka kwa Magufuli? Au ni kwakuwa hawakuwa marais udikteta tunaupima kwa upande wa Rais tu?

2. Watanzania wengi ni wazembe hasa kizazi cha smart phones, wanataka mziki masikioni hawataki kufanya kazi wanataka kuwa wakukaa nyumbani tu na kulishwa tu bila kutumika ipasavyo,
hivo anapotokea mtu wa kuwarudisha kwenye reli lazima mseme ni dikteta,

3.Kupuuza sheria ulikuwa ni mchezo uliozoeleka Tanzania na kupuuzaa taratibu za nchi sasa akija Chuma cha kuwanyoosha wanasema ni dikteta

4. DW ni ka media ka propaganda za kijinga sana na hawana hoja za msingi kusema magufuli ni Dikteta, si wajiulize swali je Magufuli ameshafika hata robo ya Hitler? aliyekuwa rais wao? wanawashwa nini na mambo yasiyowahusu?

KUPITIA MATENDO HAYA YA MAGUFULI NAJUA KWAMBA HUYU MZEE SI DIKTETA KAMA WANAVYOSEMA

1.Hakuna Dikteta anapendwa na watu wake kama Magufuli wanavyompenda,

2.Hakuna kiongozi ambaye ni dikteta ambaye anaweza kutamaniwa na nchi jirani kuwa kiongozi wao, ni kama mabavyo Tanzania hatukuwahi kutamani iutawaliwa na AHMED KHAZAI au Idd amini Au mobutu, lakin uko nje watu wanapigana vikumbo kumjua na kumtaka Magufulia aongoze walau siku kadhaa nchini mwao

3. Dikteta hawezi kukuacha umemuotea kufa

4.Dikteta hawezi kukuacha umekwamisha michakato ya maendeleo

5.Dikteta hawezi kuyakuta magari bandarini yanayojifanya kutokuwa na mwenyewe akayaacha lazima ayagawe bure au apeleke kijijini kwake,

6.Dikteta hawezi kubana matumizi akajenga hosteli halafu wachache wakapotosha kwamba kuna expansion joint halafu akawaacha wanazagaa huyo ni dikteta gani sasa?

7.Dikteta hasingeacha media ziendelee kuandika ukwasi juu yake au habari hasiyopenda yeye, mfano ni Rwanda au Pakistani kaulize kama kuna ujinga uo, navyokwambia kuna website hazifanyi kazi uko wala whatsap calls hakuna na hazina end to end encryption

8.Dikteta hawezi akakuuliza swali ukajibu hovyo kama yule wa Bukoba akakuacha

9.Zaidi dikteta hawezi maliza miezi 24 madarakani bila kuua mtu hadharani kuwatisha wengine

10.Dikteta hawezi husisha vyombo vingine katika maamuzi ya juu mfano Bunge na mahakama

11. Dikteta gani atavumilia meya aseme amepokea simu yake ya kumrubuni Mnyika na atamuaibisha? labda awe dikteta uchwara , narudia Magufuli si dikteta

Magufuli si dikteta ila anawanyoosha tu

Brittany
Dalili ya mvua ni mawingu
 
Wasome historia ya Ghana baada ya mapinduzi ya mwaka 1979 baada ya General Rawlings kuchukua madaraka vita dhidi ya ufisadi waliuwawa watu wangapi wakiwemo marais wastaafu huo ndio ulikuwa udikteta lakini pamoja na hayo Rais Mstaafu Jerry Rawlings leo ni mtu wa heshima kubwa huko Ghana na duniani kwa kufuta ufisadi nchini Ghana.
Kumwita Rais Magufuli kuwa Dikteta ni upungufu wa akili je watanzania wangeendelea kuona viongozi wachache wa CCM na Upinzani wakila bata huku watanzania wanakosa maendeleo yeyote. Leo kila kona ya Tanzania tunaona miradi mbali mbali ya uhakika ikifanyika kwa manufaa ya watanzania wote.
Kuja kwa Rais Magufuli ni ilikuwa kuiokoa Tanzania kutoka kwenye makucha ya mafisadi. Ni uhakika nia yaRais Magufuli ni hapo baadaye kutujengea demokrasia ya ukweli sio za sasa hivi kwa vyama vya kisiasa vya kitapeli.
Allah ambariki Rais Magufuli na ampe maisha marefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wataipitia
 
Nadharia ya udikteta ukitaka kuielewa tafuta kitabu kinaitwa "Dictactors mind"kimeeleza vya kutosha.
Dikteta ni nani,sifa zipi za udikteta,mifanano yao,chanzo cha udikteta,nk
 
Back
Top Bottom