Magufuli orders seizure and reallocation of undeveloped farms

Si nimesema hapo juu ujumbe ni kwa wazungu wakenya (white Kenyan's) au hukuona. Tunao wazungu wenye uraia wa Kenya wamechukuwa mashamba makubwa bila kuyaendeleza.
Hii si propaganda? Niambie mmoja unayemjua jina
 
When will Raila first distribute his undeveloped 150 Acre "farm"? It is for this reason that i can never vote for Raila. The guy knows how to destroy but hawezi jenga
what is 150 Acres to Kenyatta's that owns over 500,000 acres around Kenya
 
I would like to challenge you to bet on this one, agree?
Okay mkuu.....he will buy land from large farm owners at Cheaper prices and Sell them at a further discounted prices to Hard working Kenyan Farmers...And will Greately solve land injustices in Kenya ....if this aint accomplished by mid 2019 assuming he takes office i will support whoever is ur pick for 2022 and Eat a humble pie HAPA!!
 
When will Raila first distribute his undeveloped 150 Acre "farm"? It is for this reason that i can never vote for Raila. The guy knows how to destroy but hawezi jenga
Seriously
Kenyatta Ako na 129,000 acres undeveloped kule Kajiado na Unaingilia Raila smh!!

Hamna shame nyi supporters wa hii Administration kabsaa

Moi ako na 48,000 acres ime lala tu

Kibaki alishindwa kudevelope 2000 acres yake gapa Nakuru akauza ili aweze kulipa bill yake SA

Kuki Galman huyo mu ITALIA ana 100,000 acres pale Laikipia imelala tu Juzi amepigwa risasi ndio unaskia news za ufala

Olpejeta ina less than 50 rhinos Roaming on more than 238,000 acres of Prime Fertile land sio ile ya North eastern

Smh

Mm mkulima hapa Acre moja Nakuru Outskirts Gilgil sai ni 800,000kshs
Naivasha ni 1.3mn

In SA ku break even kwa farm yako you need 300acres atleast to be a commercial farmer ....alafu nyie ndii mtaingia supermarket Kuchukua yellow animal feeds from Russia and Ukraine alafu Blame Army worm infestation on low harvest levels as if zingekosa kuja tunge pata great harvests smh!!
 
Tanzania ardhi ni ya serikali, hivyo kama rais unaweza kuamka asubuhi na kubwatuka chochote, kuna jamaa yangu Mtanzania, ardhi yake ilitaifishwa pale Bagamoyo baada ya kukosa kuifanyia kazi au kuboresha kwa miaka kadhaa.
Kule rais anaweza kufanya maamuzi ya kukuhamisha eneo lako na huna uwezo wa kubisha na ndio maana hata bomba la Uganda ilibidi lipitie Tanzania.
 
Tatizo lenu nyie mnaangalia tu mashamba. Land is just one of the factors of production. Kuna mashamba mengi sana kule western hazifanyi kazi na zinamilikiwa na individuals. Ni kulala tu. Kisha nyie mnaona ile shamba ya wakubwa kwasababu ya tamaa. Kule malindi nimeona juzi shamba ni 100K an acre. Kuna wakati Migori shamba iliuzwa kwa 40K an acre. Badala ya kufikiria jinsi hizi shamba zitapata maximum returns, tunafikiri jinsi ya kunyang'anya watu mashamba. Huo ni upuuzi. Hii ndio tabia ya bomoabomoa no wonder Maguli alipewa hilo Jina. Tunafikiri kusubdivide mashamba ilhali yafaa tufanye land consolidation ndio tuwe na economies of scale.

Kile kinachohitajika ili kufanya watu wasiwe wakispeculate na kuacha shamba zinalala ovyo, ni kuhakikisha ya kuwa wanalipa ushuru kwa shamba ambalo liko idle.

Hii tabia ya bomoabomoa ni mbaya sana. Kila institution ni kuponda na kuibomoa. Badala ya kufikiri kujenga taasisi ziweze kujisimamia, ni kuzibomoa tu.

Hizo Ranches za wildlife zafaa zijengwe ikiwa ziko na excess capacity. Badala ya kufikiri jinsi hiyo ranch itagawanywa, Yafaa tujiulize, tutafanyaje hiyo ranch iwe na 1000 Rhinos, 2000 Lions na 1,000 Elephants. Huo ndio Ujenzi
 
Upumbavu wa Wakikuyu humu ndani..
 
Boss ask anyone here
Am a Commercial Farmer in Nakuru
I quit my Job to start farming in 2013...eti Tatizo letu...smh

Am talking about something That affcts me Directly wewe uko psychophancy hapa

This is my livelyhood

If land prices go down i am sure of a better future for myself...

Uhuru will never allow that
 
People in Botswana Have 2000 -10000 acres individually and yes Africans not whites in
Sudan Too in SA i have visited and seen Black farmers with over 1000 acres....hapa Kenya kupata hata acre kumi Shida!!

North eastern mahali acre ni 20k kuna insecurity chungu mzima .....

Si basi watoke somalia

Hawataki kutoka somalia
Hawataki ku handle corruption
Hawataki ku punguza cost of living .
Sasa mbona ni wa support?
 
Lemmi pu it simple in that you guys understand

The Typical Kenyan Studies and Understand The Theory of Business and how it works but Doesnt want to put work into achieving Maximu Profits at minimum costs

Cause Kenya Is 70% farmers

Whom majorly concentrated in 20% of Kenya Leaving a whole 80% sparcely in hibited northern Kenya is suitable for Farming But
There is no water
No security
No adequate infrastructure....

And Majority of Kenyans are content with That ....they cant see beyond their locale ......this is why Teacher are blacklisting Mandera

Those who see beyond
Go to Mandera Knowing of greener pastures but are massacres in pursuit of it.....but their Families best believe me They will be Voting JUBILEE THIS ELECTION .....SMH!!..

In Kenya No opposition Party has won since 1964

And Coalition govt doesnt Count Raila cried mistreatment the whole time.....

Till we vote in an opposition candidate am never supporting The ruling Party Ever!!!

Toka 1964 no change

Nini ndio watafanya 2017 -22 ndio niwaamini!!....
 
Tanzania ardhi ni ya serikali, hivyo kama rais unaweza kuamka asubuhi na kubwatuka chochote, kuna jamaa yangu Mtanzania, ardhi yake ilitaifishwa pale Bagamoyo baada ya kukosa kuifanyia kazi au kuboresha kwa miaka kadhaa.
Kule rais anaweza kufanya maamuzi ya kukuhamisha eneo lako na huna uwezo wa kubisha na ndio maana hata bomba la Uganda ilibidi lipitie Tanzania.

Hatua hiyo ni kwa mujibu wa sheria ya ardhi ya Tanzania na sio uamuzi wa Rais.
 
East African when we talk about Land injustices tuo
Tanzania ardhi ni ya serikali, hivyo kama rais unaweza kuamka asubuhi na kubwatuka chochote, kuna jamaa yangu Mtanzania, ardhi yake ilitaifishwa pale Bagamoyo baada ya kukosa kuifanyia kazi au kuboresha kwa miaka kadhaa.
Kule rais anaweza kufanya maamuzi ya kukuhamisha eneo lako na huna uwezo wa kubisha na ndio maana hata bomba la Uganda ilibidi lipitie Tanzania.

Good thing ni kwamba Tuna uhuru wa kwenda popote within TZ bila kujali wewe ni kabila gani na ukapokelewa na kupewa Arthi ingine na maisha ikaendelea.
 
Tanzania ardhi ni ya serikali, hivyo kama rais unaweza kuamka asubuhi na kubwatuka chochote, kuna jamaa yangu Mtanzania, ardhi yake ilitaifishwa pale Bagamoyo baada ya kukosa kuifanyia kazi au kuboresha kwa miaka kadhaa.
Kule rais anaweza kufanya maamuzi ya kukuhamisha eneo lako na huna uwezo wa kubisha na ndio maana hata bomba la Uganda ilibidi lipitie Tanzania.
Haujuwi sheria ya ardhi ya Tanzania. Rais hawezi kukunyang'anya ardhi, ila sheria ndio inaweza kuchukuwa hiyo ardhi. Ukiwa na Title Deed (TD) na umendeleza hiyo ardhi au una mpango endelevu wa kuiendeleza, unatakiwa ulipwe fidia pale ardhi yako itakapo hitajika kawaajili ya shughuli za kimaendeleo. By law, yoyote mwenye TD anapewa miaka mitatu kuiendeleza hiyo ardhi tokea tarehe ya kwanza ya TD. Ukishidwa, hiyo ardhi inarudishwa serikalini na kupewa mtu mwingine. Huyo rafiki yako amekudanganya, kama ulimpa hela akununulie ardhi halufu anakuja na story kama hizo, ujuwe umeshaachwa chini ya mti.
 
Kwa hivyo rais hawezi kuamua unyang'anywe hiyo ardhi na ukapokonywe? Rais wa Tanzania ana mamlaka makubwa sana, chochote akiliamuru, lazma litimizwe.

Ndio, tunajua kuna sheria, lakini pia tunajua rais kwa kiwango flani ana mamlaka juu ya sheria, na atamanipulate hiyo sheria kufanya atakalo, ikiwemo kutwaa ardhi kwa mtu au kampini yoyote.
 
Back
Top Bottom