Bintiwangara
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 551
- 287
Hii kauli aliitoa Dr. JP Magufuli alipokuwa kwenye Jukwaa la kampeni huko Geita
Sasa, nauliza atawabeba vipi hao wafanyabiashara kama Diallo?
Au watapewa Msamaha wa Kodi?
Kama Mgombea Urais anatuaminisha vipi kwamba atatusaidia maskini?
Au through luwabeba matajiri waliyomsaidia kwenye kampeni, na sisi maskini tutafaidika?
Hizi Kauli zingine kama Mgombea Uraisi siyo za kuongea Jukwaani
It seems wasiompigia kura wana hali ngumu zaid,visas oriented lyk MswahiliHii kauli aliitoa Dr. JP Magufuli alipokuwa kwenye Jukwaa la kampeni huko Geita
Sasa, nauliza atawabeba vipi hao wafanyabiashara kama Diallo?
Au watapewa Msamaha wa Kodi?
Kama Mgombea Urais anatuaminisha vipi kwamba atatusaidia maskini?
Au through kuwabeba matajiri waliyomsaidia kwenye kampeni, na sisi maskini tutafaidika?
Hizi Kauli zingine kama Mgombea Uraisi siyo za kuongea Jukwaani
Ikitokea jamaa hajalipa kodi atamwajibisha kweli?Ndiyo dalili za corrupt Gvt maana lazima alipe fadhila ambazo hazimo kwenye katiba au atalazimika kutumia madaraka yake vibaya kufurahisha waliompa supports.
Topic hii ina mhusu Magufuli. Kama kuna mtu mwingine unataka kumuongelea anzisha thread tuje kuchangia.Mkijibiwa sawasawa na upumbavu wenu mnaanza kulalamika. ENL hajatembea na make wa Mtu yeyote? Je tutoe otodha yake? Tunahurumia waliotendewa. Mnahoji kama fisadi mnbona hajashtakiwa ila mnaowatuhumu wameshtakia mahakama ya CDM. JPM in mkweli naye ENL aseme akishinda atamtoza Jodi Rostam?
Tatizo la Magufuli ni kuropoka ovyooo. Uwezo wake wa kufikiria madhara ya uropokaji pia ni mdogo mno. Ni hatari kuwa na Rais wa aina hii.