Elections 2015 Magufuli: Nitawabeba Wafanyabiashara waliyonisapoti kwenye Kampeni, mfano Diallo

Bintiwangara

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
551
286
Hii kauli aliitoa Dr. JP Magufuli alipokuwa kwenye Jukwaa la kampeni huko Geita

Sasa, nauliza atawabeba vipi hao wafanyabiashara kama Diallo?

Au watapewa Msamaha wa Kodi?

Kama Mgombea Urais anatuaminisha vipi kwamba atatusaidia maskini?

Au through kuwabeba matajiri waliyomsaidia kwenye kampeni, na sisi maskini tutafaidika?

Hizi Kauli zingine kama Mgombea Uraisi siyo za kuongea Jukwaani
 
Au through luwabeba matajiri waliyomsaidia kwenye kampeni, na sisi maskini tutafaidika?

Hizi Kauli zingine kama Mgombea Uraisi siyo za kuongea Jukwaani

Kavurugwa ndo maana hata shinda
 
Kutembea na mke wa mtu ni kitu mbaya..Hata mungu alikataza hilo.
 
Ndiyo dalili za corrupt Gvt maana lazima alipe fadhila ambazo hazimo kwenye katiba au atalazimika kutumia madaraka yake vibaya kufurahisha waliompa supports.
 
Hii kauli aliitoa Dr. JP Magufuli alipokuwa kwenye Jukwaa la kampeni huko Geita

Sasa, nauliza atawabeba vipi hao wafanyabiashara kama Diallo?

Au watapewa Msamaha wa Kodi?

Kama Mgombea Urais anatuaminisha vipi kwamba atatusaidia maskini?

Au through kuwabeba matajiri waliyomsaidia kwenye kampeni, na sisi maskini tutafaidika?

Hizi Kauli zingine kama Mgombea Uraisi siyo za kuongea Jukwaani
It seems wasiompigia kura wana hali ngumu zaid,visas oriented lyk Mswahili
 
Mkijibiwa sawasawa na upumbavu wenu mnaanza kulalamika. ENL hajatembea na make wa Mtu yeyote? Je tutoe otodha yake? Tunahurumia waliotendewa. Mnahoji kama fisadi mnbona hajashtakiwa ila mnaowatuhumu wameshtakia mahakama ya CDM. JPM in mkweli naye ENL aseme akishinda atamtoza Jodi Rostam?
 
Topic hii ina mhusu Magufuli. Kama kuna mtu mwingine unataka kumuongelea anzisha thread tuje kuchangia.
 
Hizo tshirts,kofia,magari ya bei mbaya mnadhania vina toka wapi? Kuna wafanyabiashara wanawekeza kwenye uchaguzi ukiisha wanaanza kukamua!
 
Hiyo ni dalili ya kuzidisha pengo kati ya matajir na maskini ambapo ni hatari sn
 
Tatizo la Magufuli ni kuropoka ovyooo. Uwezo wake wa kufikiria madhara ya uropokaji pia ni mdogo mno. Ni hatari kuwa na Rais wa aina hii.

ila kuropoka kwake kunatusaidia kujua kilichopo moyoni mwake,na kufanya maamuzi sahihi jumapili, sio wale wenzie wagombea uraisi waliomtangulia wa chama chake wana piga kelele watawabeba maskini kumbe nyumbani wameandaa mbeleko ya kubebea wafanya biashara waliowapa hela za uchaguzi, na wanafahamu kabisa maskini na tajiri hawabebeki kwenye mbeleko moja ukibeba mmoja basi mwingine aandike maumivu....
 
Ni matajiri wangapi wamemsaidi huyu jamaa kama wote atawabeba hizo aadi alizotoa atazitekeleza vp sababu ni nyingi sana
 
Maji yanatiririka kwa kufuata mkondo wake,CCM ni chama ambacho kimetekwa na matajiri,matajiri wataendelea kuneemeka ndani ya CCM na masikini wataendelea kunyang'anywa hata kile kidogo walicho nacho kitarudishwa kwa matajiri kwa kuwa ndani ya CCM ni haramu masikini kuwa na kitu.
 
"Haki ya mungu watanikoma nikiwa Rais" - Magufuli akimzungumzia aliyeweka pingamizi mahakamani nyumba yake isivunjwe kupisha bomba kubwa la maji Dar es Salaam na jaji ambaye hajatoa hukumu!
 
Akili ya Magufuli ina mmomonyoko na ndiyo maana hafikirii kabla ya kuongea, usimshange mpe pole tu. Sasa fikiria aje kuwa rais wa Tanzania, si ndiyo atakuwa anakwenda kwa wafadhili kuomba bomu la nyuklia ili awalinde simba na tembo kwenye mbuga zetu. This guy is a joke.
 
Magufuli ni mkurupukaji tu!!
Kaamuru kandaras kutoa bansi zote karatu hadi mto wa mmbu!!
Baada ya ajali ajali leo hii zinajengwa upya tena
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom