Independent-Mind
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 712
- 207
= Magufuli
Punguani wahed.
Ikiwa unauliza ndiyo nini. Ina maana haujuwi maana yake, sasa unataka nilambwe ban kwa kitu hata maana yake haukijuwi?
Unanshangaza!
Haukijuwi=Haukijui.
Punguani wahedi..
Anakupeleka mbio peke yako mimi nilishamweka kwenye "Ignore List" kitambo mdini yule
acha jabza
acha jabza
Kweli wewe ni matako! kwani jina la Magufuli ni la kiswahili?= Magufuli
Punguani wahed.
Kweli wewe ni matako! kwani jina la Magufuli ni la kiswahili?
Teeeh,teeeh,teeeh, Daka mtumba mimi watu kama hao hawanipishida kabisa kwani ukiwa hapa jf inabidi uwe na moyo mgumu kama chuma!
Hahaaaa... Umenikumbusha kwa mara ya kwanza mtu nilimpa ukweli humu akamaindi akaniambia "nyamaza, mbuzi we", nikashtuka sana manake babaangu alikuwa akiniadhibu ananiambia "fanta we" au "coca cola we", sasa leo nimekuwa mbuzi. Nikakosa raha kwa muda, baadaye nikaona ujinga huu, nikamrudishia kuwa na yeye ni "yule mwenye pua". Hakunirudishia tena. Sasa havinisumbui.
Kwani anajenga kwa fedha za mfukoni mwake? Si kodi za wananchi? Si ndiye aliyeshirikiana na Mkapa kuuza nyumba za serikali? Mnafiki huyo!!!! Kwa msifu rais? Utasikia "Serikali ya Mheshimiwa Doctor Professor Jakaya Mrisho Kikwete ......." Ya nini yote hayo. Si useme tu ulichokusudia???Ngugu yangu,tuweke umahaba pembeni unapozungumzia mawaziri ambao wako na uwezo wa ku-get job done basi bwana Pombe John ni namba moja,hatuwezi kufuta mazuri yote aliyoyasimamia kwa barabara yako ya ukonga-kivule.
kwa nini na wewe unakuwa concerned na hayo majina badala ya main issues,ujinga ujinga huu wa kujadili vitu vidogo,vidogo visivo na msingi ndio unaotufanya Tanzania tutofautiane na raia wenzetu wa nchi nyengine.BTW ,YES hatoi hela mfukoni kwake na hakuna kiongozi yeyote anayetoa hela mfukoni mwake BUT its all about Usimamizi(kwa hili anahitaji credit japo najua utapinga)Kwani anajenga kwa fedha za mfukoni mwake? Si kodi za wananchi? Si ndiye aliyeshirikiana na Mkapa kuuza nyumba za serikali? Mnafiki huyo!!!! Kwa msifu rais? Utasikia "Serikali ya Mheshimiwa Doctor Professor Jakaya Mrisho Kikwete ......." Ya nini yote hayo. Si useme tu ulichokusudia???