Magufuli ni mungu

Wewe kijana mbaya sana, why spying on your fellow to that extent in the first place ?
Huoni kwamba kwa kufanya ulichokifanya unahitaji kuhukumiwa?
Charismatic leader
 
Aaaa wapi,
dini yangu haikunifundisha hivyo

Amesema ni mungu. Hata mizimu ni mungu, ng'ombe ni mungu, anayelindwa kwa sime na mikuki ni mungu, yule wa kule uchagani aliyevunjwa na msichana, msichana akawa anatafutwa auawe kwa kumvunja mungu, naye ni mungu. Ninamjua Mungu. Mungu ni mmoja na kamwe hakuna kitu wala kiumbe chochote kitakuwa Mungu zaidi ya Jehovah.

Asithubutu kujiweka mahala pa Jehovah na waumini wake wasije wakathubutu kumweka katika nafasi ya Jehovah kama wanamtakia mema.

Mungu ni mmoja na ndiyo sababu hana wingi ni Mungu Mmoja hivyo hivyo. Lakini mungu wako wengi na wkaiwa zaidi ya mmoja wanaitwa miungu!

Kazi kwao waabudu miungu!. Mtungieni amuri sijui zitakuw angapi ili muwe mnazisema wakati mkimwabudu!. Kazi kwenu.
 
Wewe una mtindio wa ubongo na inaelekea ni mngese
 
Wewe ndio umeelewa zaidi
 
Basis ashitakiwe na wafanyakazi kwa kuvunja mikataba yao kwa kuzuia ongezeko la mishahara ambalo lipo kisheria na mikataba ipo

Kuna mwanamuziki aliimba "ndiyo mzee" hatukumwelewa kumbe aliona mbali
 
Idd Amin alitoa agizo kwa wahindi waondoke uganda chini ya masaa 24 wakatekeleza. Je amin alikuwa mungu ?....mungu aliyefia ugenini..!
Note;, mungu imeandikwa kwa herufi ndogo.
 
Astaafirullah..Astaafirullah..Astaafirullah.. Astaafirullah..Astaafirullah
 
Kumkashifu mwenyezi Mungu kiasi hiki haya yote ni kwa sababu ya kushiba tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…