Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,084
Magufuli siyo MUNGU.Dr Magufuli ni kama mungu mdogo yaani kwenye psychology wanasema ni miniature God maana tamko lake lina nguvu. Alitamka kuwa madawati yametengenezwa kwa muda mfupi na ongezeko la mishahara imewezekana, pamoja na kuwa kila mfanyakazi wa umma hujaza mkataba ambao hutamka ya kuwa kila July kutakuwa na ongezeko la mshahara yaani (increments) ila yeye kavunja huo mkataba.
Je kuna mahali anaweza kushitakiwa?
inatamkikaje?Labda mungu lakini sio Mungu.
ha ha ha ha ha ha! hiiiiiiiiiiiiiiiiLabda mungu lakini sio Mungu.
Ameshavunja sheria nyingi... Hii sio ya kwanza.. Ye c ndo kijigodi uchwara..Dr Magufuli ni kama mungu mdogo yaani kwenye psychology wanasema ni miniature God maana tamko lake lina nguvu. Alitamka kuwa madawati yametengenezwa kwa muda mfupi na ongezeko la mishahara imewezekana, pamoja na kuwa kila mfanyakazi wa umma hujaza mkataba ambao hutamka ya kuwa kila July kutakuwa na ongezeko la mshahara yaani (increments) ila yeye kavunja huo mkataba.
Je kuna mahali anaweza kushitakiwa?
haaaaahaaaaaHalafu muache kumfananisha Mungu na vitu vya ajabu ajabu na wahuni wahuni... Mfyuuuuuu
Ukihama utapigwa tu....mkuu hapend kujaribiwa[emoji15] [emoji15] [emoji15]Astakafirulla.....angekuwa ni yeye mwenyewe kasema hayo..ningehama nchi
Dr Magufuli ni kama mungu mdogo yaani kwenye psychology wanasema ni miniature God maana tamko lake lina nguvu. Alitamka kuwa madawati yametengenezwa kwa muda mfupi na ongezeko la mishahara imewezekana, pamoja na kuwa kila mfanyakazi wa umma hujaza mkataba ambao hutamka ya kuwa kila July kutakuwa na ongezeko la mshahara yaani (increments) ila yeye kavunja huo mkataba.
Je kuna mahali anaweza kushitakiwa?
mleta mada ni mjinga ila we ndo mjinga zaidi!!Muelewen mtoa mada amemfananisha mkulu na mungu na wala si Mungu
shindwa nonesense!Anaepigiwa magoti ni Mungu tu!Huna haya hata kuandika hivyo!!!!!!!kweli mmepigika kila kitu ni yes sir poor you!!Kwa Magufuli kila goti litapigwa
Mamchu## Unamatatizo kwenye mfumo wa fahamshindwa nonesense!Anaepigiwa magoti ni Mungu tu!Huna haya hata kuandika hivyo!!!!!!!kweli mmepigika kila kitu ni yes sir poor you!!
kama wakoMamchu## Unamatatizo kwenye mfumo wa faham