Magufuli: Ni kipi bora kati ya kituo cha mafuta au miskiti?

Rais kaalikwa stayfar,alikuwa yeye sambamba na waziri mkuu na mkuu wa mkoa,ukumbi wa karimjee,inaoneshwa star tv boss
 
Rais Magufuli hakika anawachukia sana Mafisadi. Kauliza inakuwaje mtu anatwaa eneo la umma kwa madai kuwa anataka kujenga kituo cha mafuta then hicho kituo hakijajengwa na eneo anaendelea kulishikilia
 
Well narrated,jamaa yeye kila tukio anabadilisha kuwa la kifisadi,tukio la waislam kusheherekea sikukuu yao,yeye anaenda tumbua jipu eheh
 
Mh rais ameuliza swali hilo akiwa mgeni rasmi katika sherehe za kiislam za eid el fitri
swali;ni akina nani waliokuwa wakiingia mikataba hiyo na wakuu wa Bakwata?.
Wakati wa Mufti Simba kulikuwa na wimbi la uporaji wa mali za waislamu. Viwanja pamoja na nyumba nyingi zilizokuwa za wakfu viliuzwa visingizio visivyokuwa na mashiko. Hilo ndilo lililomletea matatizo Sheikh Ponda Issa Ponda na kuzushiwa mengi yasiyo na mashiko.
Waislamu wamekuwa wakitaka warudishiwe amali zao. Sijui hili la viwanja ni janja ya wanasiasa kuwapooza au atavuka zaidi na kuzirudisha mali zilizoporwa au kuuzwa na viongozi wa BAKWATA hasa zile za AMNUT hilo ni wakati ndio utakaotupa majibu.
 
Kweli mkuu,nimekumbuka kile kiwanja cha bakwata,huyu jamaa kila Anapoalikwa anakuja na taarifa za wizi ehehe usimkaribishe home kwako...
 
ndio kile kiwanja alichokua shekh ponda analalamikia mpaka akawekwa ndani,bakwata wenyewe ndio walikiuza,bora magu awatumbue tu wanafiki sana bakwata,walimfanya Ponda akae ndani
Sasa inakuwa wazi basi alionewa ponda kudai haki yao,kuna mambo ukiyafanya leo unaonekana mwehu,ila wengine sisi ni kutokujua tu kinachoendelea...
 
Akihutubia mamia ya waisilam na wananchi waliohudhuria maadhimisho ya siku ya eid amesema haiingii akilini kuona wafanya biashara wajanja wakiwatumia baadhi ya viongozi wa dini kuyachukua maeneo ya waisilam na kuyatumia kwa manufaa yao.

Kuna swali najiuliza hapa inamaana zile mbwembwe za shekh ponda kutaka kukomboa maeneo ya waisilam alikua hajui kama wametapeliwa maeneo hayo kihalali na wajanja kupitia viongozi wao!?
 
Rais Magufuli hakika anawachukia sana Mafisadi. Kauliza inakuwaje mtu anatwaa eneo la umma kwa madai kuwa anataka kujenga kituo cha mafuta then hicho kituo hakijajengwa na eneo anaendelea kulishikilia
Ok
Kweli bakwata ni mali ya umma?
 
Back
Top Bottom