Magufuli,Nape,Bulembo,Johnston e Lusinde lazima washtakiwe ICC

makoye2009

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
2,638
1,218
Wana JF na Watanzania wenzangu,
Kuna uwezekano mkubwa sana kwa Chama cha Mafisadi na Majambazi(CCM)kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi Mkuu hapo Okt,2015!Dalili zote zinaonyesha kuwa Watz wamechoshwa na utawala mbovu wa CCM.

Tayari kuna viongozi wa CCM wameiona hiyo hali na tayari wanaandaa mazingira ya kusababisha machafuko hatimaye nchi iingie kwenye umwagikaji wa damu iwapo upinzani watashinda.

Tukianzia na Magufuli mgombea wa CCM amesikika akisema Watanzania wakichagua upinzani nchi itakuwa kama Libya au Rwanda.Huu ni uchochezi!

BULEMBO naye amesikika wazi akisema kuwa iwapo upinzani watashinda Uchaguzi wao CCM hawako tayari kuwaruhusu kuingia Ikulu!Haya ni matamshi ya saw a na mwendawazimu asiyejua analofanya.Huu ni uchochezi.

NAPE a.k.a Nepi naye ametoa matamshi ya namna kama hiyo akisema wao CCM hawataruhusu Marehemu anayetembea aingie Ikulu akimlenga (Ndg.Edward Lowassa)mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA anayeungwa mono n.a. UKAWA.Huu ni uchochezi pia!

Livingstone Lusinde mtambo wa matusi wa CCM amekuwa akiropokwa na maneno ya aina hiyohiyo.Kichaa huyu aliyetoroka toka Mirembe ametoa matamshi yenye ubaguzi wa Ukanda na Ukabila akidai kuwa watu Kaskazini wamekuwa wakipewa upendeleo hivo Lowassa hawezi kuwa Rais wa JMT!

Sasa tunajua ICC tayari wana wawakilishi wao hapa TZ kufuatilia kinachoendelea kwenye kampeni za Uchaguzi na lazima watachukua hatua kwa machafuko yoyote yatakayotokea kufuatia matokeo ya Uchaguzi huu!

Lazima wapuuzi hawa wa CCM ambao hawajitambui wawe wa kwanza kushtakiwa kwenye Mahakama hii ya Kimataifa ICC!

Mungu ibariki Tanzania.
 
Kwani ICC inasubiri tu watu wafe ndio wachukue hatua?Kwa nini wasipewe taarifa mapema ya wale wote wenye maneno ya uchochezi pamoja na ushahidi, ili wakamatwe na kuchukuliwa hatua kabla madhara hayajatokea?UKAWA please do something,do not wait until it is too late.Si watu wenye maneno ya uchochezi wanafahamika.

Ingefaa ukasome ICC PRINCIPLES kwanza.
 
Nani kakwambia kuna machafuko baada ya uchaguzi? Machafuko labda yatokee kwenye familia yako. Tanzania hatuna mda wa kumwaga damu..zilimwagika kipindi cha mkoloni.
 
wana jf na watanzania wenzangu,
kuna uwezekano mkubwa sana kwa chama cha mafisadi na majambazi(ccm)kushindwa vibaya kwenye uchaguzi mkuu hapo okt,2015!dalili zote zinaonyesha kuwa watz wamechoshwa na utawala mbovu wa ccm.

Tayari kuna viongozi wa ccm wameiona hiyo hali na tayari wanaandaa mazingira ya kusababisha machafuko hatimaye nchi iingie kwenye umwagikaji wa damu iwapo upinzani watashinda.

Tukianzia na magufuli mgombea wa ccm amesikika akisema watanzania wakichagua upinzani nchi itakuwa kama libya au rwanda.huu ni uchochezi!

Bulembo naye amesikika wazi akisema kuwa iwapo upinzani watashinda uchaguzi wao ccm hawako tayari kuwaruhusu kuingia ikulu!haya ni matamshi ya saw a na mwendawazimu asiyejua analofanya.huu ni uchochezi.

Nape a.k.a nepi naye ametoa matamshi ya namna kama hiyo akisema wao ccm hawataruhusu marehemu anayetembea aingie ikulu akimlenga (ndg.edward lowassa)mgombea wa urais kwa tiketi ya chadema anayeungwa mono n.a. Ukawa.huu ni uchochezi pia!

Livingstone lusinde mtambo wa matusi wa ccm amekuwa akiropokwa na maneno ya aina hiyohiyo.kichaa huyu aliyetoroka toka mirembe ametoa matamshi yenye ubaguzi wa ukanda na ukabila akidai kuwa watu kaskazini wamekuwa wakipewa upendeleo hivo lowassa hawezi kuwa rais wa jmt!

Sasa tunajua icc tayari wana wawakilishi wao hapa tz kufuatilia kinachoendelea kwenye kampeni za uchaguzi na lazima watachukua hatua kwa machafuko yoyote yatakayotokea kufuatia matokeo ya uchaguzi huu!

Lazima wapuuzi hawa wa ccm ambao hawajitambui wawe wa kwanza kushtakiwa kwenye mahakama hii ya kimataifa icc!

Mungu ibariki tanzania.

ukawa mpango mzima
 
Toka uijue icc unafikiri kila usiyempenda aende huko, mwisho utasema nyosso nae apelekwe icc, pumbav sana!
 
Nani kakwambia kuna machafuko baada ya uchaguzi? Machafuko labda yatokee kwenye familia yako. Tanzania hatuna mda wa kumwaga damu..zilimwagika kipindi cha mkoloni.

Manelezu,
Kuna ile mijitu hapa Tanzania naiita haijitambui kama wewe!
Hivi wewe na akili yako unajua maana ya dalili au viashiria vya hatari?

Mbona Policcm wako huzuia maandamano kwa kisingizio cha machafuko a.k.a uvunjifu wa Amani?

Inaonekana hata hujui historia ya nchi yako!Je,wajua kwamba tarehe 5,Jan,2001 Serikali yako ya CCM ilimwaga damu ya Watanzania zaidi ya 20 wasio na hatia kwa machafuko ya kisiasa huko Visiwani kwa vile tu walikuwa wafuasi wa CUF?Je hiyo haikuwa damu ya watu?

Try to think big you CCM hooligan!
 
Umetoa kauli za hasira na chuki dhidi ya mwana ccm; na wewe tutakupeleka icc.
Watu wa aina yako ni wapuuzi kabisa.
Ukaanzishe fujo afu bulembo ndo icc.
Tutaanza na wewe.
Idiot
 
Wana JF na Watanzania wenzangu,
Kuna uwezekano mkubwa sana kwa Chama cha Mafisadi na Majambazi(CCM)kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi Mkuu hapo Okt,2015!Dalili zote zinaonyesha kuwa Watz wamechoshwa na utawala mbovu wa CCM.

Tayari kuna viongozi wa CCM wameiona hiyo hali na tayari wanaandaa mazingira ya kusababisha machafuko hatimaye nchi iingie kwenye umwagikaji wa damu iwapo upinzani watashinda.

Tukianzia na Magufuli mgombea wa CCM amesikika akisema Watanzania wakichagua upinzani nchi itakuwa kama Libya au Rwanda.Huu ni uchochezi!

BULEMBO naye amesikika wazi akisema kuwa iwapo upinzani watashinda Uchaguzi wao CCM hawako tayari kuwaruhusu kuingia Ikulu!Haya ni matamshi ya saw a na mwendawazimu asiyejua analofanya.Huu ni uchochezi.

NAPE a.k.a Nepi naye ametoa matamshi ya namna kama hiyo akisema wao CCM hawataruhusu Marehemu anayetembea aingie Ikulu akimlenga (Ndg.Edward Lowassa)mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA anayeungwa mono n.a. UKAWA.Huu ni uchochezi pia!

Livingstone Lusinde mtambo wa matusi wa CCM amekuwa akiropokwa na maneno ya aina hiyohiyo.Kichaa huyu aliyetoroka toka Mirembe ametoa matamshi yenye ubaguzi wa Ukanda na Ukabila akidai kuwa watu Kaskazini wamekuwa wakipewa upendeleo hivo Lowassa hawezi kuwa Rais wa JMT!

Sasa tunajua ICC tayari wana wawakilishi wao hapa TZ kufuatilia kinachoendelea kwenye kampeni za Uchaguzi na lazima watachukua hatua kwa machafuko yoyote yatakayotokea kufuatia matokeo ya Uchaguzi huu!

Lazima wapuuzi hawa wa CCM ambao hawajitambui wawe wa kwanza kushtakiwa kwenye Mahakama hii ya Kimataifa ICC!

Mungu ibariki Tanzania.

Kaisome vizuri sheria ya icc na mamlaka yake halafu urudi tena hapa jukwaani.
Nyie ndo wapumbavu mnaokoki watu wafanye fujo wakidhani ni bulembo na nape watakaofungwa.
Wapuuzi wakubwa.
Jirekebisheni haswaaa.

Na ninawakumbusha tu kumbukeni maafa yaliyotokea kenya..je hiyo icc yako imewaokoa nini wakenya hadi sasa.???
Kuna msela bashir pale sudan, ni rais mpaka kesho na hawamgusi wala nini.

We lialia na icc hapo na hoja za kipuuzi.

Pumbavu kabisa.
 
Manelezu,
Kuna ile mijitu hapa Tanzania naiita haijitambui kama wewe!
Hivi wewe na akili yako unajua maana ya dalili au viashiria vya hatari?

Mbona Policcm wako huzuia maandamano kwa kisingizio cha machafuko a.k.a uvunjifu wa Amani?

Inaonekana hata hujui historia ya nchi yako!Je,wajua kwamba tarehe 5,Jan,2001 Serikali yako ya CCM ilimwaga damu ya Watanzania zaidi ya 20 wasio na hatia kwa machafuko ya kisiasa huko Visiwani kwa vile tu walikuwa wafuasi wa CUF?Je hiyo haikuwa damu ya watu?

Try to think big you CCM hooligan!

To maintain peace there is always a price..hao 20 unaowasema ni isolated cases, hata nchi zilizoendelea zenye democrasia watu sometimes wanauwawa, anyways siamini na wala sijaona dalili za kumwaga damu..labda ujiulize upo tayari kumwaga damu yako? kwa agenda za lowassa? au unawawazia wengine wamwage iyo damu and for what? nani kakwambia mshindi hata amuliwa na watanzania kwenye box la kura>?
 
Toka uijue icc unafikiri kila usiyempenda aende huko, mwisho utasema nyosso nae apelekwe icc, pumbav sana!

Ndumbayeye,

There is some nonsense in thy name ndumbayeye!It tells something wrong in you!
Hivi unajua kwamba ICC wako hapa Tanzania wakifuatilia kwa makini hatua kwa hatua kwa namna kampeni zinavoendeshwa hasa ndani ya CCM? ICC tayari walishajifunza toka Kenya na Afrika kwa ujumla kuwa vyama Twawala kama CCM hapa Africa huwa havitaki kuachia madaraka pale vinaposhindwa kwenye ballot box!

Kutokana na joto kali la kisiasa linaloinyemelea Tanzania kwa salsa!
Tayari CCM wanaonyesha kila dalili na wameshatamka wazi kuwa hawako tayari kuachia madaraka kama wapinzani watashinda!Hii ni hatari kubwa.

Tumemsikia Bwana Nepi akisema CCM ushindi ni lazima hata kama ni kwa GOLI LA MKONO!Hizi kauli ni za kishenzi na ndizo ambazo tunasema zinaweza kupelekea kwene vurugu.Hii kauli ya goli la mkono subirini baada ya kutangazwa kwa matokeo ya Urais na Ubunge. Kama UKAWA watashinda is well and good cause they deserve it.Lakini iwapo itakuwa kinyume chake hapo ndipo Watanzania na Nepi mwenyewe watajua maana ya kutoa kauli hizi Tata!

UKAWA watakuwa na kila haki ya kugomea matokeo hayo kwa vile hayatakuwa halali kwa maana ya kwamba CCM watakuwa wameshinda kwa GOLI LA MKONO.

Tusubiri bado wiki 3 tu,time gonna tell!
 
To maintain peace there is always a price..hao 20 unaowasema ni isolated cases, hata nchi zilizoendelea zenye democrasia watu sometimes wanauwawa, anyways siamini na wala sijaona dalili za kumwaga damu..labda ujiulize upo tayari kumwaga damu yako? kwa agenda za lowassa? au unawawazia wengine wamwage iyo damu and for what? nani kakwambia mshindi hata amuliwa na watanzania kwenye box la kura>?

Manelezu,

Kumwaga damu ya mtu kwa kisingizio cha gharama ya amani ni ushenzi,unyama na udikteta uliopitiliza!Hakuna swala la isolated case hapa!Watu walikufa kwa kupigwa risasi wakipinga mstokeo ya Uchaguzi huko Visiwani baada ya CUF kupokwa haki yao ya ushindi!Inajulikana na CCM wanajua kuwa CUF ndiyo wababe wao huko Visiwani kwa miaka yote tangu kuanza kwa chaguzi za vyama Vingi!
Kazi ya Polisi ni kuzuia vurugu na machafuko yasitokee na siyo kuua!Polisi wasomea mbinu za kukabiliana na vurugu ili kudhibiti tu.Polisi anatakiwa kukamata mtu anayefanya fujo na kumweka ndani baadaye afunguliwe mashtaka na kuhukumiwa kulingana na sheria aliyoivunja na si vinginevo!

Polisi vilevile anaweza kumfungulia mashtaka mtu anayetoa matamshi ya kutishia kuua, kuudhi au kutishia amani ya mtu au taifa.Lakini kinachoshangaza kwa sasa ni POLICCM kujifanya hawasikii au hawaelewi haya maneno yanayozungumzwa na makada wa CCM kana kwamba huo ni muziki burudani masikioni mwao! Tatizo la polisi wetu wako biased na wanakuwa wakali kwa wapinzani tu.Laiti kama haya maneno ya kina Nape,Magufuli,Bulembo,Lusinde yangelikuwa yametamkwa na wapinzani saa hii wangelikuwa ndani au kesi ilishafunguliwa mahakamani zidi yao!

Nchi hii kwa sasa haina utawala wa sheria kwa vile vigogo wa CCM wanajiona wako juu ya sheria!Hivo uwepo wa wawakilishi wa ICC kwa wakti huu ni mhimu sana!
 
Hawa jamaa wamejawa na jeuri na kiburi na ni wachochezi wakubwa. Tuwaonyeshe kazi kwenye sanduku la kura tuwazibe mikono wabaki wakitahayari.
 
Wana JF na Watanzania wenzangu,
Kuna uwezekano mkubwa sana kwa Chama cha Mafisadi na Majambazi(CCM)kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi Mkuu hapo Okt,2015!Dalili zote zinaonyesha kuwa Watz wamechoshwa na utawala mbovu wa CCM.

Tayari kuna viongozi wa CCM wameiona hiyo hali na tayari wanaandaa mazingira ya kusababisha machafuko hatimaye nchi iingie kwenye umwagikaji wa damu iwapo upinzani watashinda.

Tukianzia na Magufuli mgombea wa CCM amesikika akisema Watanzania wakichagua upinzani nchi itakuwa kama Libya au Rwanda.Huu ni uchochezi!

BULEMBO naye amesikika wazi akisema kuwa iwapo upinzani watashinda Uchaguzi wao CCM hawako tayari kuwaruhusu kuingia Ikulu!Haya ni matamshi ya saw a na mwendawazimu asiyejua analofanya.Huu ni uchochezi.

NAPE a.k.a Nepi naye ametoa matamshi ya namna kama hiyo akisema wao CCM hawataruhusu Marehemu anayetembea aingie Ikulu akimlenga (Ndg.Edward Lowassa)mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA anayeungwa mono n.a. UKAWA.Huu ni uchochezi pia!

Livingstone Lusinde mtambo wa matusi wa CCM amekuwa akiropokwa na maneno ya aina hiyohiyo.Kichaa huyu aliyetoroka toka Mirembe ametoa matamshi yenye ubaguzi wa Ukanda na Ukabila akidai kuwa watu Kaskazini wamekuwa wakipewa upendeleo hivo Lowassa hawezi kuwa Rais wa JMT!

Sasa tunajua ICC tayari wana wawakilishi wao hapa TZ kufuatilia kinachoendelea kwenye kampeni za Uchaguzi na lazima watachukua hatua kwa machafuko yoyote yatakayotokea kufuatia matokeo ya Uchaguzi huu!

Lazima wapuuzi hawa wa CCM ambao hawajitambui wawe wa kwanza kushtakiwa kwenye Mahakama hii ya Kimataifa ICC!

Mungu ibariki Tanzania.

Wamesababisha mauaji ya halaiki?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom