ukawa2020
JF-Expert Member
- Apr 1, 2016
- 339
- 1,315
Miaka ya zamani kidogo nchi ilikuwa inaongozwa na wafalume
Siku moja mfalume akiwa anatembea na kukagua maeneo yake akamkanyaga kijana mmoja mwenye Elimu yake nzuri tu
Yule kijana baada ya kuona amekanyagwa na mfalume akashuka chini na kumwambia mfalume " samahani mfalume kwa bahati mbaya niliweka mguu sehemu ambayo wewe ulikuwa unakuja kukanyaga naomba nisamehe"
Swali langu kwenu je magufuli akiwa anatembea njiani akikukanyaga unaweza " kumjaribu" kwa kumwambia mbona unanikanyaga?
Mimi naendelea kujenga ukuta