Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Acha masihara wewe unataka tuuze nchi.
Ukawa hawawezi shika hii nchi.
Tuliyowaamini kwa miaka 54 mmeuza nusu ya nchi yetu,tunahitaji kuwabadilisha ili kuirudisha eneo mliloliuza.
Acha masihara wewe unataka tuuze nchi.
Ukawa hawawezi shika hii nchi.
Unatakiwa uelewe au uliza ujibiwe.
Amesema mgombea mwenza wa kwanza.Hao uliowataja wamechaguliwa,hawakuwa wagombea.