Alichonishangaza Magufuli na nimeanza kuamini hata data alizokuwa anatupa ni za uwongo. Anasema kwa mara ya kwanza Tanzania na duniani itaweka historia ya kuwa na makamu wa rais wa kwanza mwanamke. "Ni uongo uliokithiri"
Correction
Mwaka 1994 mpaka 2003 Uganda walikuwa na makamu wa Rais Madam Specioza Nainda Wangila.
Hadi sasa Zambia wana makamu wa rais wa kike madam Inonge Wina
So ukiwa muongo angalau angalia pa kudanganya
Tukutane Oktoba2015