Kwani ni Mkatoliki?
Heeh!!!!!!makubwa!!!!!!!!!!!! majungu yameshaanza!!!!!!!!!!
Kwani ni Mkatoliki?
Huyu binti ameonyesha msimamo thabiti na mapenzi yake ya dhati kwa chama cha mapinduzi. Amerisk nafasi yake ya kutwaa ubunge kirahisi na kutomuasi marehemu baba yake mzazi. Haikuwa jambo jepesi ku-overcome pressure ilokuwa inatoka sehemu mbalimbali hadi kwa watu wake wa karibu ili aiasi CCM! chondechonde CCM huyu binti ni symbol ya ukomavu wa kisiasa na ni symbol ya hayati Sokoine, nakuomba sana Raisi mteule una nafasi nyingi sana kama Raisi. JK hakumsahau, na wewe pia usimsahau!, ni njia pia ya kuenzi mchango wa Sokoine katika ujenz wa taifa hili.
Nawasilisha

Hapana mkuu kuna watu wamekosa nafasi lakini ni watu muhimu sana wana sifa za kutuongoza, basi siasa za kishamba ,ubaguzi ,ukanda, na kuendekeza vyama badara ya maslai ya watanzania,
Mfano
1,NAmelok sokoine,
2,David Misha
3, olesendeka,
4,H,mwandry,( tamisemi)
Hawa ni viongozi wanaotufa
Mh ,rais magufuli TUNAKUOMBA awachukue pamoja na slaa,
Huyu binti ameonyesha msimamo thabiti na mapenzi yake ya dhati kwa chama cha mapinduzi. Amerisk nafasi yake ya kutwaa ubunge kirahisi na kutomuasi marehemu baba yake mzazi. Haikuwa jambo jepesi ku-overcome pressure ilokuwa inatoka sehemu mbalimbali hadi kwa watu wake wa karibu ili aiasi CCM! chondechonde CCM huyu binti ni symbol ya ukomavu wa kisiasa na ni symbol ya hayati Sokoine, nakuomba sana Raisi mteule una nafasi nyingi sana kama Raisi. JK hakumsahau, na wewe pia usimsahau!, ni njia pia ya kuenzi mchango wa Sokoine katika ujenz wa taifa hili.
Nawasilisha
Huyu binti ameonyesha msimamo thabiti na mapenzi yake ya dhati kwa chama cha mapinduzi. Amerisk nafasi yake ya kutwaa ubunge kirahisi na kutomuasi marehemu baba yake mzazi. Haikuwa jambo jepesi ku-overcome pressure ilokuwa inatoka sehemu mbalimbali hadi kwa watu wake wa karibu ili aiasi CCM! chondechonde CCM huyu binti ni symbol ya ukomavu wa kisiasa na ni symbol ya hayati Sokoine, nakuomba sana Raisi mteule una nafasi nyingi sana kama Raisi. JK hakumsahau, na wewe pia usimsahau!, ni njia pia ya kuenzi mchango wa Sokoine katika ujenz wa taifa hili.
Nawasilisha
Huyu binti ameonyesha msimamo thabiti na mapenzi yake ya dhati kwa chama cha mapinduzi. Amerisk nafasi yake ya kutwaa ubunge kirahisi na kutomuasi marehemu baba yake mzazi. Haikuwa jambo jepesi ku-overcome pressure ilokuwa inatoka sehemu mbalimbali hadi kwa watu wake wa karibu ili aiasi CCM! chondechonde CCM huyu binti ni symbol ya ukomavu wa kisiasa na ni symbol ya hayati Sokoine, nakuomba sana Raisi mteule una nafasi nyingi sana kama Raisi. JK hakumsahau, na wewe pia usimsahau!, ni njia pia ya kuenzi mchango wa Sokoine katika ujenz wa taifa hili.
Nawasilisha
Misha ndio nani?acheni siasa za upendeleo nyie.Kama mtu kakosa ajaribu next time.Tunataka maendeleo na sio kupeana nafasi.Hapana mkuu kuna watu wamekosa nafasi lakini ni watu muhimu sana wana sifa za kutuongoza, basi siasa za kishamba ,ubaguzi ,ukanda, na kuendekeza vyama badara ya maslai ya watanzania,
Mfano
1,NAmelok sokoine,
2,David Misha
3, olesendeka,
4,H,mwandry,( tamisemi)
Hawa ni viongozi wanaotufa
Mh ,rais magufuli TUNAKUOMBA awachukue pamoja na slaa,
sio mkatoliki. Angekuwa mlutheri na mlivyoombana kura makanisani mngempa. Amini nakuambia, dhambi ya ubaguzi itawatafuna tuKwani ni Mkatoliki?
Asimsahua dr cyril chami moshi vijijini
Misha ndio nani?acheni siasa za upendeleo nyie.Kama mtu kakosa ajaribu next time.Tunataka maendeleo na sio kupeana nafasi.