Magufuli: Mkimaliza mniambie nilete hela. "Yeye ni wizara?

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Kuna jambo huwa simwelewagi Rais Magufuli.Kwa mfano leo akizindua uwanja wa ndege huko ngerengere kasema."Fanyeni tathimini mkimaliza mniambie nilite hela.Kwani Rais kageuka wizara?Anapeleka hela kama nani?
Kwa mtindo huu.Wizara zote si zitaenda likizo?
 
Kama hela haikuwa kwenye budget haiwezi kutoka wizarani kwakuwa ikitoka tu ujue kuna sehemu imepunguzwa na ilikua na kazi nyingine maana wizara inakatiwa fungu kulingana na budget ambayo inakuwa imeshakadiriwa kwa matumizi ya mambo fulani yaliyokwisha pangwa.
 
Kuna jambo huwa simwelewagi Rais Magufuli.Kwa mfano leo akizindua uwanja wa ndege huko ngerengere kasema."Fanyeni tathimini mkimaliza mniambie nilite hela.Kwani Rais kageuka wizara?Anapeleka hela kama nani?
Kwa mtindo huu.Wizara zote si zitaenda likizo?
Yani hapa ndio mpate majibu.
Kwanini hakuna ongezeko la mishahara,
Hakuna kupandishwa vyeo
Hakuna kulipwa arrears,
Hakuna new employment regardless the demand,
Mikopo shida,
Kupanda kwa makato kwa waliosoma kwa mikopo ya board,
Etc. . .

Sijui hamuonagi hili

Na style hii inavyoendelea kuna mengi mengine yatakuja ya kuwaliza. . . .
 
Taaluma nyingine zote hazina umuhimu/ na maana kwa Dr. Kufuata taratibu za kifedha au kisheria ni changamoto. Hapo ni amri tu.
 
Kuna jambo huwa simwelewagi Rais Magufuli.Kwa mfano leo akizindua uwanja wa ndege huko ngerengere kasema."Fanyeni tathimini mkimaliza mniambie nilite hela.Kwani Rais kageuka wizara?Anapeleka hela kama nani?
Kwa mtindo huu.Wizara zote si zitaenda likizo?

Amewaagiza akina nani
 
Back
Top Bottom