Magufuli madaraja ni yako wewe

Magufuli madaraja ni yako wewe

uhuru50

Senior Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
127
Reaction score
21
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Wazir maguful onyesha uungwana mana madaraja haya yapo chini yako sasa kwa hali hii unasubir nn kuachia kiti ?
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1397416333.402696.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1397416333.402696.jpg
    95.4 KB · Views: 1,031
  • ImageUploadedByJamiiForums1397416364.792167.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1397416364.792167.jpg
    44.6 KB · Views: 1,016
  • ImageUploadedByJamiiForums1397416386.523704.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1397416386.523704.jpg
    44.1 KB · Views: 997
  • ImageUploadedByJamiiForums1397416411.864623.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1397416411.864623.jpg
    48.8 KB · Views: 982
  • ImageUploadedByJamiiForums1397416433.729019.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1397416433.729019.jpg
    67.7 KB · Views: 987
Mungu ni wa ajabu sana! Ona jonsi anavyowaumbua mawaziri wanajifanya wachapakazi kumbe wanafiki. Na hili litawaumbua wengi hasa wale mawaziri wanaojifanya kuongea sana ili hali wanaficha udhaifu wao. Simshangai kwa jinsi anavyozidiwa ujanja na watu wa tanroad. Aachie ngazi tu.
 
Unamlinganisha Magufuli na mtangulizi gani katika wizara hiyo? Kawambwa?
 
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Wazir maguful onyesha uungwana mana madaraja haya yapo chini yako sasa kwa hali hii unasubir nn kuachia kiti ?
Sijui kama wewe unaufahamu wa majanga! Inawezekana hata Kiangazi kikipiga na tukakosa mazao ya chakula na biashara,nadhani waweza taka Waziri ajiuzulu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ww ndio hufaham unaona hizo nondo za Hilo daraja la Bagamoyo ? Au unajifunza kusema mbele za watu angalia ukubwa wa hizo nondo halaf Kaa fikiria ndio uanze kuongea
 
Back
Top Bottom