Ongeza bia nyingine, nakuja kulipa.Nawashangaa watu wanaomtetea magufuli, wanapata wapi huo ujasiri.
Huyu jamaa alikuwa na roho mbaya, katili, muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli....
Noma Sana.Nawashangaa watu wanaomtetea magufuli, wanapata wapi huo ujasiri.
Huyu jamaa alikuwa na roho mbaya, katili, muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli...
Wakuu inatosha, tumsamehe tu, binadamu hatukosi makosa isipokuwa tu makosa yanazidiana.Nawashangaa watu wanaomtetea magufuli, wanapata wapi huo ujasiri.
Huyu jamaa alikuwa na roho mbaya, katili, muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli...
Ndio alishakuwa...Hakustahili hata kuwa "MWENYEKITI WA KITONGOJI", achilia mbali kuwa Rais Wa Nchi.
Kama taifa, kuwa na Rais kama yule tuliingia chaka.
Kila binadamu anayo namna yake ya kujifariji, wapo wengine hutukana, hulia, huenda haja ndogo, au hata kupiga kelele ilmuradi tu kupoza moyo wake kutokana na machungu yaliyomsibu, juu ya yote ni njia moja ya kuwatanabahisha wapenzi wa huyo mwendazake kwamba huyo mnayempenda alikuwa na mambo ya hovyo, alikuwa na roho mbaya na katili japo kwa nje alionekana "malaika" mtetea wanyonge aliyetaka matajiri waishi kama mashetani.🤣Ndo alishakuwa...
Sijui haya mnayoozungumza yanawasaidia Nini...
Maana hamwezi kufuta historia hiii
His legacy will live foreverNawashangaa watu wanaomtetea magufuli, wanapata wapi huo ujasiri.
Huyu jamaa alikuwa na roho mbaya, katili, muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli.
Ameua ndoto za vijana kwa kuwanyima ajira akiwaambia wajiajiri huku watoto zake na watu wake wa karibu akiwapa ajira, mtoto wake Ruth Magufuli alimpa UDAS morogoro mjini mpaka mda huu ninavoongea bado ana cheo hicho alikuwa na ulinzi zaidi ya RC na gari zuri zaidi ya bosi wake mkuu wa wilaya na mbaya zaidi na mume wake naye akampa UDAS wilaya ya mvomero, Mtoto wake mwingine Jesca Akampachika REA ambako yuko mpaka sasa..
Baada ya Magufuli kufa, Ruth ameondolewa ulinzi.
Cha kushangaza, Walala hoi waliambiwa wakajiajiri, Alikuwa na chuki zisizohimilika na hakusita kuzionesha waziwazi.
Hakupenda kuona watu ni matajiri, kwa akili yake alitaka matajiri waishi kama shetani....
Yaaani hili zeee likayafa....hebu ngoja nipige bia then nirudi 😎
Historia ya kuwa na rais wa hovyo ya nini sasa?Ndo alishakuwa...
Sijui haya mnayoozungumza yanawasaidia Nini...
Maana hamwezi kufuta historia hiii
alileta mpasuko mkubwa.miongoni wa watanzania.