mwandiga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,506
- 664
Kuna juhudi kubwa sana zinafanywa kuhakikisha Magufuli anaibukia ikulu, kumbuka ukifanikiwa kuingia ikulu lazima utawalipa fadhila na hili litakugharimu kama lilivyogharimu utawala uliopo madarakani sasa.
Kuna watu utalazimika kuwaonea aibu na kuwapa uongozi kwani ndio wamekuweka hapo ikulu. Serikali itakuwa mzigo kwako.
Kemea hali iliyopo sasa.
Kuna watu utalazimika kuwaonea aibu na kuwapa uongozi kwani ndio wamekuweka hapo ikulu. Serikali itakuwa mzigo kwako.
Kemea hali iliyopo sasa.