Magufuli: Kuna njama za kumuangusha Nape

Nazidi kuwa na wasiwasi na akili za mh. magufuli.

Njama?.

Then tuamini kuwa huko chato aliyegombea siyo mzuri?
 
Nepi hawezi, kushinda kwa namna yoyote Ile, Mtama ya enzi za Membe ni tofauti na sasa...
Kwanza yy ni yahaya, hajui kero za wananchi wa kule, anasafiria nyota ya Membe kwa kuwa wakati Membe akiwania Hilo jimbo watu walikuwa hawajafunguka.., sasa watu wamefunguka watamlima Mtama adondokee pua, hapati Kura Mia!!
 
Hapa nachoona mimi ni hali ya kuanza kukubali kushindwa. Watu wataongea ili mradi jambo likitokea waseme ni " ZILE NJAMA" Magufuli wewe mwenyewe njama za kuangushwa tayari zimekamilika. Watu wana subiri muda tu.
 
Hujajua kuwa jamaa betri imeover shoot kwa hiyo anasema hovyo tuu? Kaulize Vunjo, yule mgombea wake aliyesema alitaka kupewa milioni 250 akamtosa baada ya kumuona Mrema. Ili ashangiliwe ikabidi aseme mchagueni Mrema.
Jamaa siku hizi ana ropoka kama kabugia viroba.

Dozi ya mabadiliko imemkaa vyema!
 
Kweli Magufuli hufai,yaani unamuona Nape anafaa na matusi yake yote hayo?Lazima tukupige chini tarehe 25.Hivi hujui kwamba jamii imemshusha sana.Yaani mnajimaliza wenyewe. EasyFit
 
Last edited by a moderator:
Ana presha na chato maana vijiji 22 ccm iliambulia viwil tu!!!!!

Najimbo linaenda chadema kwa kamanda DR BENEDICTO LUKANIMA mtaalam wa mambo ya finance mnyama lecturer from mzumbe university ***** ataisoma aibu sana jimbo la mgombea urais kwenda upinzan!,!!!,!,,,

Shame on you makomeo
 
Umeona we, pia anaposema angekuwa na uwezo angempeleka chato inamaanisha mgombea was chato hafai na akisikia anavunjika moyo. Kaharibu vunjo kumnadi mrema badala ya mgombea wake na hapa ameharibu pia. Tatizo mineno mingiiiiiio
 
Back
Top Bottom