Magufuli: Kuna mgombea amesomea maigizo

Magufuli: Kuna mgombea amesomea maigizo

NI KATIKA KAKAO CHA UVCCM DAR ES SALAAM JANA
Dk Magufuli alisema baadhi ya wapinzani ni waigizaji wakubwa ambao wamesomea uigizaji na wataufanya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kutawaliwa na mbwembwe na maigizo mengi.

Alisema kazi kubwa ya CCM ni kukabiliana na mbwembwe na maigizo hayo ili kuyashinda.

Magufuli alisema CCM siyo watu wa matumaini, bali ni watu wa maendeleo na safari ya uhakika.

Alisema wapinzani wa CCM sasa wameanza kunukuu kila kitu hasa nyimbo za chama.

Aliwaambia vijana hao: “Katika mchakato huu na katika uchaguzi wa mwaka huu kuna mbwembwe nyingi, kuna mbinu nyingi na kuna maigizo mengi hasa kwa sababu wako wengine walisomea maagizo. Kwa hiyo tuna wajibu wa pamoja kuyashinda haya maigizo.”
source (mwananchi 17 .08. 2015)
Hii niliisoma humu kwenye JF. Hata hivyo sikutraji mgombea urais haitumie kwenye kauli zake. Kwa hiyo ina maana waliosoma taaluma hiyo hawasatahili?
 
Sasa ndio wasanii mjue jinsi jamaa anavyozarau wasanii, ile kujifanya munamuita kula naye chakula akiwa na jk mwenzenu moyoni anawabeza na kazi zenu za sanaa.
 
NI KATIKA KIKAO CHA UVCCM DAR ES SALAAM JANA
Dk Magufuli alisema baadhi ya wapinzani ni waigizaji wakubwa ambao wamesomea uigizaji na wataufanya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kutawaliwa na mbwembwe na maigizo mengi.

Alisema kazi kubwa ya CCM ni kukabiliana na mbwembwe na maigizo hayo ili kuyashinda.

Magufuli alisema CCM siyo watu wa matumaini, bali ni watu wa maendeleo na safari ya uhakika.

Alisema wapinzani wa CCM sasa wameanza kunukuu kila kitu hasa nyimbo za chama.

Aliwaambia vijana hao: “Katika mchakato huu na katika uchaguzi wa mwaka huu kuna mbwembwe nyingi, kuna mbinu nyingi na kuna maigizo mengi hasa kwa sababu wako wengine walisomea maagizo. Kwa hiyo tuna wajibu wa pamoja kuyashinda haya maigizo.”

CHANZO: Mwananchi 17 .08. 2015)

CCM mkiishiwa hoja sijui huwa mnajadili nini yaani!Basi na elimu yake aende kiwandani sasa na yeye!
 
Hii niliisoma humu kwenye JF. Hata hivyo sikutraji mgombea urais haitumie kwenye kauli zake. Kwa hiyo ina maana waliosoma taaluma hiyo hawasatahili?

Ndiyo wasanii wastuke hapo. Huku wanajifanya wanawakumbatia na kuwalisha misosi eti wanathamini mchango wao, lakini upande mwingine wanawatukana kuwa ni wasanii tu wanaleta maigizo.
 
magufuli naye kaanza kutukana sasa ngoja waje jamaa wa kazi wamjibu,ccm wamekamatwa pabaya mwaka huu
 
Ndiyo wasanii wastuke hapo. Huku wanajifanya wanawakumbatia na kuwalisha misosi eti wanathamini mchango wao, lakini upande mwingine wanawatukana kuwa ni wasanii tu wanaleta maigizo.
Lowassa alisoma BA Education nafikiri pale chuo kikuu. Nagikiri ni ukosefu wa hekim mgombea urais kutamka kauli hiyo. Nilitarajia kuyasikia kwa kina Nappe laki n i siyo kwake. Hata hivyo hizi ndizo kauli hata za kina Muhongo wanazotaka kuziyoa kujitanabaisha na usomi wao!
 
Pole yake. Mbona aongelei ya kwake

Kanda yake ya ziwa yenyewe iko kushoto na mtoto mwenye kipaji cha kubadili maganda ya korosho. Watu husomea udakitari kwenye field ambayo haina tija na watu maskini badala ya kufanya utafiti wa namna ya kuongeza miche ya korosho yenye kuzaa matunda mengi unajifunza kukamua sukari iliyobaki baada ya kutumika!
 
Lowassa alisoma BA Education nafikiri pale chuo kikuu. Nagikiri ni ukosefu wa hekim mgombea urais kutamka kauli hiyo. Nilitarajia kuyasikia kwa kina Nappe laki n i siyo kwake. Hata hivyo hizi ndizo kauli hata za kina Muhongo wanazotaka kuziyoa kujitanabaisha na usomi wao!
Sielewi wanataka watoto wetu wanaosoma hiyo course wajisikieje waonapo msomi kutoka kundi lao akidharirishwa kwa kiwango hicho tena na viongozi wajuu, ukichukulia huyo Magufuli ni mgombea mwenye matarajio ya kushinda uchaguzi ambapo kwa zilivyo taratibu huenda akawa mkuu wa chuo ikitokea ameshinda.

Hapo naanza kukubaliana na Member mmoja aliandika thread isemayo 'Magufuli is a man with no visions'
 
NI KATIKA KIKAO CHA UVCCM DAR ES SALAAM JANA
Dk Magufuli alisema baadhi ya wapinzani ni waigizaji wakubwa ambao wamesomea uigizaji na wataufanya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kutawaliwa na mbwembwe na maigizo mengi.

Alisema kazi kubwa ya CCM ni kukabiliana na mbwembwe na maigizo hayo ili kuyashinda.

Magufuli alisema CCM siyo watu wa matumaini, bali ni watu wa maendeleo na safari ya uhakika.

Alisema wapinzani wa CCM sasa wameanza kunukuu kila kitu hasa nyimbo za chama.

Aliwaambia vijana hao: “Katika mchakato huu na katika uchaguzi wa mwaka huu kuna mbwembwe nyingi, kuna mbinu nyingi na kuna maigizo mengi hasa kwa sababu wako wengine walisomea maagizo. Kwa hiyo tuna wajibu wa pamoja kuyashinda haya maigizo.”

CHANZO: Mwananchi 17 .08. 2015)

Too low for presidential candidate.
 
Back
Top Bottom