Hizo ni dalili za kuanza kudata huyo Makufuli wenu.NI KATIKA KAKAO CHA UVCCM DAR ES SALAAM JANA
Dk Magufuli alisema baadhi ya wapinzani ni waigizaji wakubwa ambao wamesomea uigizaji na wataufanya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kutawaliwa na mbwembwe na maigizo mengi.
Alisema kazi kubwa ya CCM ni kukabiliana na mbwembwe na maigizo hayo ili kuyashinda.
Magufuli alisema CCM siyo watu wa matumaini, bali ni watu wa maendeleo na safari ya uhakika.
Alisema wapinzani wa CCM sasa wameanza kunukuu kila kitu hasa nyimbo za chama.
Aliwaambia vijana hao: Katika mchakato huu na katika uchaguzi wa mwaka huu kuna mbwembwe nyingi, kuna mbinu nyingi na kuna maigizo mengi hasa kwa sababu wako wengine walisomea maagizo. Kwa hiyo tuna wajibu wa pamoja kuyashinda haya maigizo.
source (mwananchi 17 .08. 2015)
Weka na madudu ya lowasa tulinganishe uchafu wao.
huyu anaanza mdomo wakati ana madudu kibao
1.Kamzalisha mwanafunzi wa Geology pale UD anaiwa Sundi
2.Kamuuzia Sundi nyumba ya serikali kwa 170,000/= TZS
3.Akiwa waziri alikuwa analala mabibo Hostel kwa Sundi bila kificho
4.Akiwa waziri kamjengea kimada nyumba Kunduchi Mtongani na mkandarasi ni kampuni ya SKOL ( 10% kwa kuwapa kazi labda)
5.Akiwa waziri kaitia hasara serikali ya 3bilioni kwenye kesi ya kukamata meli ya samaki
6.Akiwa waziri kabainika kwenye report ya CAG ya mwaka huu kuwa 250bilioni hazijulikani ziliko wizarani kwake
7.Akiwa waziri kampuni ya Aashlef iligoma kumpa 10% wakati wa ujenzi wa barabara ya iringa-dodoma na akiifuuza kazi.
8.Akiwa waziri alionekana kwenda samunge kunywa kikombe kwa maradhi ambayo hayajulikani haswa anaumwa nini na hili ni hatari kwa taifa.
mengine yataendeleeeaaaa
NI KATIKA KIKAO CHA UVCCM DAR ES SALAAM JANA
Dk Magufuli alisema baadhi ya wapinzani ni waigizaji wakubwa ambao wamesomea uigizaji na wataufanya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kutawaliwa na mbwembwe na maigizo mengi.
Alisema kazi kubwa ya CCM ni kukabiliana na mbwembwe na maigizo hayo ili kuyashinda.
Magufuli alisema CCM siyo watu wa matumaini, bali ni watu wa maendeleo na safari ya uhakika.
Alisema wapinzani wa CCM sasa wameanza kunukuu kila kitu hasa nyimbo za chama.
Aliwaambia vijana hao: Katika mchakato huu na katika uchaguzi wa mwaka huu kuna mbwembwe nyingi, kuna mbinu nyingi na kuna maigizo mengi hasa kwa sababu wako wengine walisomea maagizo. Kwa hiyo tuna wajibu wa pamoja kuyashinda haya maigizo.
CHANZO: Mwananchi 17 .08. 2015)
huyu anaanza mdomo wakati ana madudu kibao
1.Kamzalisha mwanafunzi wa Geology pale UD anaiwa Sundi
2.Kamuuzia Sundi nyumba ya serikali kwa 170,000/= TZS
3.Akiwa waziri alikuwa analala mabibo Hostel kwa Sundi bila kificho
4.Akiwa waziri kamjengea kimada nyumba Kunduchi Mtongani na mkandarasi ni kampuni ya SKOL ( 10% kwa kuwapa kazi labda)
5.Akiwa waziri kaitia hasara serikali ya 3bilioni kwenye kesi ya kukamata meli ya samaki
6.Akiwa waziri kabainika kwenye report ya CAG ya mwaka huu kuwa 250bilioni hazijulikani ziliko wizarani kwake
7.Akiwa waziri kampuni ya Aashlef iligoma kumpa 10% wakati wa ujenzi wa barabara ya iringa-dodoma na akiifuuza kazi.
8.Akiwa waziri alionekana kwenda samunge kunywa kikombe kwa maradhi ambayo hayajulikani haswa anaumwa nini na hili ni hatari kwa taifa.
mengine yataendeleeeaaaa
Mwache alete dharau zake tu. Mwenzake JK anazidharau mdomoni lakini kisaikolojia maigizo hayo yanamkondesha, ndiyo maana ukimuangalia sasa hivi hata ngozi imeanza kumpwaya;
Ni 'Maigizo' hayo hayo yalimuweka Kikwete madarakani.
Amuulize JK kinachomkondesha, asidhani kuwa oabda JK anafanya diet ili ku maintain figure.
CCM wanatapatapa. Kila kitu kinafanyika sasahv,kuzindua mradi wa magari yaendayo kasi,Rais Kuagwa na "shirikisho la wasanii" Rais kuagana na wafanyakaz wa wizara ya Ujenzi? why Ujenzi na sio fedha,Nishati na madini au Wizara ya Mali asili na utalii? Ni wazi "Haya ndo maigizo" Pumbaf zao wataisoma namba this tym.