Magufuli kumfilisi Lowassa

Msifanye masihara na kumfirisi lowassa na mnaweza mkute nyinyi ccm ndio mtafirisika

Kwa hela ipi? Hivi ameishauza Godown la Pugu road? Angekuwa na pesa, asingeweka mali ya dola milioni 10 sokoni kwa dola milioni 5. Mlitegemea angekuwa na uhitaji wa Dollar milioni 5? Muwe mnakaa kimya
 
Lowassa kashaifilisi CCM.... Saizi wana mpango wa kumleta Chamelion wa Uganda ili akapige show Mwanza

Chameleone aje kufanya nini hapa? Okay, tuseme ni kweli, huoni kuwa ni hela ndio itakayotumika? Si bado wana hela?
 
Hapo ndio wanamuongezea lowassa wafuasi.


swissme

Wafuasi gani? Wahindi wamekata kamba sasa hivi kwa kukosa kwake wafuasi. Unadhani nyinyi wenye kelele nhumu ndio wafuasi. Wahindi wamemtathmini wakamuona ni liability, sasa wamemkacha. Angekuwa na wafuasi, wahindi wangekuwa wanamuunga mkono mpaka kesho. Kaa chini uugulie lakin sio kubisha.
 
Chameleone aje kufanya nini hapa? Okay, tuseme ni kweli, huoni kuwa ni hela ndio itakayotumika? Si bado wana hela?

Diamonda hana mvuto tena baada ya kupuuzwa na wananchi.... Kwa sasa CCM wana mpango wa kupiga chini wasanii 34 kati ya wale 56 ili fedha hizo wampatie Chamelion apige show kanda ya ziwa....
 
Mwambieni Magufuli, Lowassa akiingia ikulu tunataifisha Keb..s Hotel..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…