Magufuli kila kitu unaiga UKAWA

Magufuli kila kitu unaiga UKAWA

Wana jamvi nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupata Ilani za ccm na ukawa.

Cha kushangaza ni kwamba mgombea wa ccm kila kinachofanywa na ukawa ana copy na ku pest.

Alianza na M4C na sasa ametengeneza matangazo ya Tv kuonyesha mgambo wanavyomwaga vyakula vya mama lishe baada ya kuona mgombea wa ukawa akinadi sera za kuwajali makundi hayo.

Najiuliza Ilani ya ccm ni miongoni mwa vitabu vikubwa mbona ameibwaga chini na kushikia bango mbinu za mwenzake.

Kweli mziki wa lowassa ni kiboko.

Wewe bavicha umeandika upuuzi.
 
Unajinasibu Umesoma Ilani Za Vyama Vyote,hivi M4c Ni Ilani Nayo Ndani Ya Ukawa?Labda Mimi Sielewi,hivi Matangazo Ya Tv Nayo Yapo Kwenye Ilani Ya Chama?
 
magufuli hakopi bali anaangalia maeneo mengine yenye uhitaji zaidi na ndio maana anaonekana kuwavutia sana watz
 
Mtoa madaa imaonekana hujajipanga kupost,, cdm ilani yenu mnayotumia unajua imetoka wap ukishafaham hvyoo utakwa huna haja ya kure post
 
Magufuli haigi vitu vya ukawa kwani ukawa ni sawa na mtoto ambaye hajaanza hata kutambaa huwezi linganisha ccm na ukawa ccm ina watu makini na wenye ujuzi wa hali ya juu hivyo kama kusema magufuli for change unaona ni kucopy basi umepotea nambie ni jina gani la mwana ukawa ambaye anaweza unganisha jina hilo nahiyo log pia kumbuka kuwa ilani ya ccm ni nzuri kuliko ya ukawa kwani inaelezea nini kilichofanyika na nini bado hakija fanyika na ukawa inaeleza nini itafanya na pia ni ilani inayobeza mambo mazuri yaliyofanywa na ccm hiyo ndiyo ilani ya ukawa
Usibishe kwa sababu tu unataka kubisha! Hata sisi tunahudhuria mikutano na kuona na kusikiliza katika media!
 
Hivi Ilani ya ukawa inaeleza nini kuhusu masuala ya mambo ambayo yameisha fanyika zaidi ya kejeri na dharau ni kwambie wananchi sasa wanaelimika kila kukicha na wanaelewa kuwa lowasa siyo chochote
Wengi sasa wanajua kuwa chanzo cha umaskini na uduni wao wa maisha ni mfumo CCM! Wamechoka kudanganywa na wameamua kuuondoa madarakani na kuleta mabadiliko makubwa! Lowasa anatosha!!
 
Kwani hao mgambo wanatumwa na nani?ccm ndio wanaowapiga wama chinga,wanaomwagwa vyakula vya mama mtilie.umaskini wetu umeletwa na Ccm.tangazo ni la kipuuzi.linawaaibisha wao wenyewe.Chagua Lowasa
 
Porojo zote hizi mwisho wake ni tarehe 25 October pale E N L atakapo chaguliwa kwa ushindi wa TSUNAMI!!
 
Anajua ilani ya ccm haitekelezeki na wananchi hawataki kuisikia. Anajua mabadiliko yanayosisitizwa na ukawa yanatekelezeka na wananchi wanayataka kwa hamu kubwa. Ndio maana akiwa jukwaani anajitahidi kucopy mambo ya ukawa ili wanaomsikiliza wafurahi na wadanganyike kwamba nae anaweza kuleta mabadiliko.
Lakini ikitokea kawa rais kitakachofanyiwa kazi ni ilani ya ccm isiyotekelezeka, kwa sababu wanaomzunguka watamwambia tufuate ilani, ambayo haina lengo la kumkomboa mwananchi, bali kuwadangaya wananchi kwa manufaa ya mafisiem.
 
Leo nimeshangaa eti magufuli anasema ''wenzangu wa Ukawa wanafanya ishara ya V sasa hii ukigeuza chini na zikawa mbili inakuwa M for Magufuli'', sasa najiuliza huyu mgombea hana think tank au ya kwake ni re active?
Wewe zubaa hapo unashangaa vidole mwenzio ndio anaomba kura hapo, na Ndio anaenda kushinda kushinda. Hata China imeendelea na kupiga hatua kwa brand za marekani, Korea etc nyie shangaeni ikulu mtaiona kwa nje.
HapaKazi Tu
 
Wana jamvi nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupata Ilani za ccm na ukawa.

Cha kushangaza ni kwamba mgombea wa ccm kila kinachofanywa na ukawa ana copy na ku pest.

Alianza na M4C na sasa ametengeneza matangazo ya Tv kuonyesha mgambo wanavyomwaga vyakula vya mama lishe baada ya kuona mgombea wa ukawa akinadi sera za kuwajali makundi hayo.

Najiuliza Ilani ya ccm ni miongoni mwa vitabu vikubwa mbona ameibwaga chini na kushikia bango mbinu za mwenzake.

Kweli mziki wa lowassa ni kiboko.



Magufuli Ni Ugonjwa!
 
Back
Top Bottom