Malilambwiga
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 485
- 296
Wana jamvi nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupata Ilani za ccm na ukawa.
Cha kushangaza ni kwamba mgombea wa ccm kila kinachofanywa na ukawa ana copy na ku pest.
Alianza na M4C na sasa ametengeneza matangazo ya Tv kuonyesha mgambo wanavyomwaga vyakula vya mama lishe baada ya kuona mgombea wa ukawa akinadi sera za kuwajali makundi hayo.
Najiuliza Ilani ya ccm ni miongoni mwa vitabu vikubwa mbona ameibwaga chini na kushikia bango mbinu za mwenzake.
Kweli mziki wa lowassa ni kiboko.