Magufuli kiboko: Meneja wa TANROADS akemewa kama mhudumu!

Magufuli ana kiherehere, maana kukosa ustaarabu kwa watendaji wake co sifa ya ufanisi wa kazi. Barabara ya mbagala imejengwa hovyo Mbona hajawafukuza kazi wa handisi waliokua wana simamia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…