Wadau,
Sio siri, ni nani aliyehisi kati ya hawa 42, eti Magufuli ndo atakuwa Mcharo? Saizi yupo Dodoma kwenye hotel fulani hivi anasogeza siku kujiandaa na pambano alilopambanishwa na mabinti. Dah, raha sana.
Naskia kamuomba kipa eti yeye asiweke kipa golini, dharau hizi Mcharo Magufuli.