Magufuli kasababisha nikosane na demu wangu

Si ulimwambia kama mbwai iwe mbwai sasa roho yakuumia nini jamani?
Kula chakula chako maliza chote chukua picha ya lowasa mkumbatie lala
True kabisa.....mbaba anaendekeza mihemko kama akili haiko sawa....kwa nini na kiasi...aache kutuzingua. Politics is politics and it is quite different from family affairs, sasa yeye kashindwa SEIF CONTROL!!! AKOMEE.
 
Ukiwa na demu gamba hatari sana. Ila kama unampenda jifanye kumsapoti tu kwani kura yako utajua wa kumpigia. Hata mimi demu wangu ni gamba tena sugu ccm. Ila najua jinsi ya kuishi naye. Siasa zinapita na maisha yanaendelea. Chagua Lowassa chagua mabadiliko.
 
Asante mkuu
 
ukute huyo dem wako n mm,
 
Brother, hauko mwenyew... Hata mm wiki tatu zilizopita kilinuka. Mpaka sasa hv tumeamua kila mtu akaushe kwny maswala ya siasa. Tukiw pamoja ni mwendo wa mtv base tu.
 
wewe mmwage tu hana heshima kama ameamua kufanya ivo kwa jambo ilo ipo siku atafanya kubwa zaidi cha msingi tafuta kifaa kingine cha ukawa uyo akaolewe na kibajaji(mr vituko mwenzake)
 
Hahahaaaaaaa
 
jembe afrika

Kanadhani zile post za ukuu wa wilaya zitaendelea kwa namna ile ile ndo maana kakakumaindi.
 
Last edited by a moderator:
jembe afrika

Mkuu nimependa msimamo wako, hata pale akipotaka kutumia silaha yake bado ulisimamia msimamo wako. Na msosi ukala mbele yake, siku nyingine harudii huyo. Ungeufyata kama kama yule mzee aliyefungiwa nje na demu wake na kuambiwa asithubutu kuunga mkono siasa za upinzani ingekula kwako. Vijana kama ndo mnatakiwa na huo ndo uzoefu wa mambo ya ndoa kama alivyosema Gwajima
 
Last edited by a moderator:
Brother, hauko mwenyew... Hata mm wiki tatu zilizopita kilinuka. Mpaka sasa hv tumeamua kila mtu akaushe kwny maswala ya siasa. Tukiw pamoja ni mwendo wa mtv base tu.

Safi mkuu, usikubali kulazimishwa kama yule babu aliyestaafishwa siasa wakati yeye anapenda kuendelea.
 
Back
Top Bottom