kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,184
umpigie kura basi na akiwa president wako mtafute umwambie live!!
Mkuu pole sana ukiwa na mwanamke asiyetaka mabadiliko unaweza ukamwambia tujenge nyumaba yetu yeye akakuambia awezi ama mtaani kisa ana marafiki mkuu makufuli apiti na huyo atakuomba msamaa mwenyewe
umpigie kura basi na akiwa president wako mtafute umwambie live!!
jembe afrika
Mkuu nimependa msimamo wako, hata pale akipotaka kutumia silaha yake bado ulisimamia msimamo wako. Na msosi ukala mbele yake, siku nyingine harudii huyo. Ungeufyata kama kama yule mzee aliyefungiwa nje na demu wake na kuambiwa asithubutu kuunga mkono siasa za upinzani ingekula kwako. Vijana kama ndo mnatakiwa na huo ndo uzoefu wa mambo ya ndoa kama alivyosema Gwajima
jembe afrika
Kanadhani zile post za ukuu wa wilaya zitaendelea kwa namna ile ile ndo maana kakakumaindi.
Si ulimwambia kama mbwai iwe mbwai sasa roho yakuumia nini jamani?
Kula chakula chako maliza chote chukua picha ya lowasa mkumbatie lala
tena ukaambie kasiludi tena gheto lasivyo kanavyoludi kahakikishe kamevaa ngu ya chagua lowasa pambafu zake tena ningekuwa ni mimi ningekafukuza kabla hakajatoka kenyewe
Chakula chenu bibie Ni chips kuku Evelyn Salt
hahahahahaaaaaaaAnaacha kuku lofa kweli, ngekua mie ningekula kwanza ndo niondoke
Unadhihirisha Ubora Wako Mama!! hakika sumbui Ameokota Dodo kwenye MuarobainiLowasa ndo chanzo cha hayo yote! isingekuja habari inayomhusu asingeanza msifia magufuri wake,,.
Pili: punguzeni mihemko isiyo na faida kwa wakati husika chuki na hasira kwa mambo madogo kama hayo haifai
poleni sana!
Ninavyompenda maghufuli usithubutu kumuongelea lowassa mbele tangu, nainuka naondoka.