Magufuli kamzidi Lowassa kwa hili

Magufuli kamzidi Lowassa kwa hili

paperwork

Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
22
Reaction score
26
Lowassa anasifiwa kwa kutowajibu wanaomtuhumu kwa ufisadi, lakini mimi naona Magufuli ndo anastahili sifa zaidi. Kwa sababu zifuatazo;

1. Lowassa ana kashfa moja ya ufisadi, ambayo ni Richmond, licha ya kukaa kimya kwa muda mrefu, amesema huo ulikua ni mradi wa Kikwete.

2. Magufuli ana kashfa kadhaa za ufisadi,
A. Kuuza nyumba za serikali kwa hawala yake na mdogo wake
B. Kupiga hela kwenye ununuaji wa boat mbovu ya kwenda Bagamoyo
C. Kupiga fedha kwenye mradi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi
D. Upotevu wa Mabilioni yasiyo wizarani kwake.

Lakini Magufuli hajawahi kujibu hata moja, hii inaonyesha kwamba ana busara zaidi kuliko Lowassa.
 
Baada ya Kazi za kuiba rasilimali za Taifa sasa wana ccm wanajipongeza kwa kubakana mitaani

Last edited by a moderator:
Mmeyafanya na nani? Sisi tunafahamu Rais ni LOWASSA tu! Vinginevyo uchaguzi huu utakuwa batili.

Hapa Kazi za kubakana tu, chagua Magufuli akabake uchumi wetu kama kikwete alivyoubaka

Last edited by a moderator:
Lowassa anasifiwa kwa kutowajibu wanaomtuhumu kwa ufisadi, lakini mimi naona Magufuli ndo anastahili sifa zaidi. Kwa sababu zifuatazo;
1. Lowassa ana kashfa moja ya ufisadi, ambayo ni Richmond, licha ya kukaa kimya kwa muda mrefu, amesema huo ulikua ni mradi wa Kikwete.
2. Magufuli ana kashfa kadhaa za ufisadi,
A. Kuuza nyumba za serikali kwa hawala yake na mdogo wake
B. Kupiga hela kwenye ununuaji wa boat mbovu ya kwenda Bagamoyo
C. Kupiga fedha kwenye mradi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi
D. Upotevu wa Mabilioni yasiyo wizarani kwake.

Lakini Magufuli hajawahinkujibu hata moja, hii inaonyesha kwamba ana busara zaidi kuliko Lowassa.

Duh balaa!!
 
Umevurugwa wewe. Viongozi wako wameshindwa kumnyooshea kidole Magufuli. Hoja zako hazina mashiko
 
Mmeyafanya na nani? Sisi tunafahamu Rais ni LOWASSA tu! Vinginevyo uchaguzi huu utakuwa batili.
Nakuhurumia sana MUSSA ALLAN. Sijui baada ya keshokutwa utaelekea wapi? Je utamfuata Lowasa Monduli kuchunga ng'ombe?
 
Umevurugwa wewe. Viongozi wako wameshindwa kumnyooshea kidole Magufuli. Hoja zako hazina mashiko

Hapa kazi za kubaka tu, magufuli atabaka uchumi na sisi wana fisiem tutabakana

Last edited by a moderator:
Kama ulikuwa mradi wa Kikwete naye lowasa hakutaka kumkatalia wewe huoni kama huyu mtu naye siyo mwadilifu? Kwanini hakutaka kujiuzulu au ndiyo alipenda sana kile kilichomfanya apige kimya?
 
Back
Top Bottom