MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Mkuu kila siku nakushauri uangalie namna ya kutafuta kibarua kingine, hiki cha kuipigia chapuo CCM hapa JF, Kinakoma jumapili!Nakuhurumia sana MUSSA ALLAN. Sijui baada ya keshokutwa utaelekea wapi? Je utamfuata Lowasa Monduli kuchunga ng'ombe?