Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,312
- 152,112
Raisi Magufuli,kama utaendelea kutoa kipaumbele katika mambo yanayohusu miundombinu tu na kusahau mambo mengine yanayogusa moja kwamoja uchumi na maisha ya watu wako,hakika 2020 unaweza kuja kusema labda watanzania hawa hawana shukrani kwani umwajengea miundombinu na kununa ndege lakini bado wamekukataa.
Kitendo cha waheshimiwa wabunge jana kumshangilia JK ambae hakununua Bombardier lakini ameonekana ni bora zaidi ni ishara tosha kuwa japo wanasafiri na hizo Bombadier, hizo Bombadier kwao si issue muhimu kuliko uchumi wao na wa wananchi wanaowawakilisha.
Pengine swali muhimu unalopaswa kujiuliza ni ikiwa hawa wabunge wanaopanda hizi ndege kwao wanaziona sio issue.Je,wananchi wa kawaida wanaoziona ndege hizi zinapita tu huko hewani na wala hawaoti kuzipanda, 2020 ndio watakuelewa?
Kama wabunge wameonyesha picha hiyo,unadhani hali itakuwaje kwa watumishi wa umma wenye maslahi duni kuliko hayo ya wabunge?
Mfanyabiashara na mkulima je?
Hiyo ya bombardier nimetoa kama mfano tu lakini endelea na miradi mingi ya aina hiyo ukasahau mambo mengine au miradi mingine inayogusa moja kwa moja maisha ya watu na matokeo yake yatajidhihirisha wakati ukifika.