Nimekuwa nafuatilia kauli anazotoa huyu mheshimiwa kwenye mbio za urais mpaka sasa sijamwelewa vizuri kana kwamba kuna watu wanamwalndalia hotuba au ni kauli zake mwenyewe .La kwanza kabisa ni hili la kuwapa walimu laptop ,anyway this is rubbish lets put it aside, kuna hili alilozungumza njombe kuhusiana na polisi ,anataka mapolisi wakienda kazini kwenye vituo wawe wameshiba sio wanaacha vituo na kwenda kutafuta chakula ,Kibaya zaidi ni pale aliposema wanapoona majambazi ni kuwapiga risasi tu. Hii kauli ni mbaya sana kwa mgombea uraisi.Inabidi awaombe radhi watanzania na ktk nchi zilizoendelea nadhani andelazimishwa kujitoa katika mbio za urais .Ni wakati wa taasisi za haki za binadamu kutofumbia macho kauli kama hizi ,
Natarajia tutasikia mengi sana kwani kauli zake ni tata sana
Kuwatandika majambazi si jambo la kuzua mjadala. Ila kwa vile kwenye chama lenu kuna majambazi kibao ndo màna mnawateteaKasahau jinsi mtoto wa mkulima alivyong'ang'aniwa ikabidi ajitetee kwa kuangua kilio kuhusu "Wauwawe tu" wanaowaua albino. Yatamkuta pia kwani Magufuli pia anaongea kinachomjia mdomoni bila kukumbuka kuwa kuna sheria za nchi
Nimekuwa nafuatilia kauli anazotoa huyu mheshimiwa kwenye mbio za urais mpaka sasa sijamwelewa vizuri kana kwamba kuna watu wanamwalndalia hotuba au ni kauli zake mwenyewe .La kwanza kabisa ni hili la kuwapa walimu laptop ,anyway this is rubbish lets put it aside, kuna hili alilozungumza njombe kuhusiana na polisi ,anataka mapolisi wakienda kazini kwenye vituo wawe wameshiba sio wanaacha vituo na kwenda kutafuta chakula ,Kibaya zaidi ni pale aliposema wanapoona majambazi ni kuwapiga risasi tu. Hii kauli ni mbaya sana kwa mgombea uraisi.Inabidi awaombe radhi watanzania na ktk nchi zilizoendelea nadhani angelazimishwa kujitoa katika mbio za urais .Ni wakati wa taasisi za haki za binadamu kutofumbia macho kauli kama hizi ,
Natarajia tutasikia mengi sana kwani kauli zake ni tata sana
Kuwatandika majambazi si jambo la kuzua mjadala. Ila kwa vile kwenye chama lenu kuna majambazi kibao ndo màna mnawatetea
Nimekuwa nafuatilia kauli anazotoa huyu mheshimiwa kwenye mbio za urais mpaka sasa sijamwelewa vizuri kana kwamba kuna watu wanamwalndalia hotuba au ni kauli zake mwenyewe .La kwanza kabisa ni hili la kuwapa walimu laptop ,anyway this is rubbish lets put it aside, kuna hili alilozungumza njombe kuhusiana na polisi ,anataka mapolisi wakienda kazini kwenye vituo wawe wameshiba sio wanaacha vituo na kwenda kutafuta chakula ,Kibaya zaidi ni pale aliposema wanapoona majambazi ni kuwapiga risasi tu.
Hii kauli ni mbaya sana kwa mgombea uraisi.Inabidi awaombe radhi watanzania na ktk nchi zilizoendelea nadhani angelazimishwa kujitoa katika mbio za urais .Ni wakati wa taasisi za haki za binadamu kutofumbia macho kauli kama hizi.
Natarajia tutasikia mengi sana kwani kauli zake ni tata sana.