Magufuli huyu ninaye mjua anagombea Urais

Quantum

Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
53
Reaction score
21
Nilifahamiana naye tukiwa Makutopora, Dodoma mwaka 1983, sasa amezeeka na kipala juu, ila namtakia kila lakheli

restored-2.jpg
Magufuli JKT Makutopora namkumbuka na namba yake [FONT=arial, sans-serif]834 KJ, Dodoma 1983

[/FONT]e832bdd39a938ca3a1e2a2f9bcfa5ad6.jpg
Magufuli Waziri wa Ujenzi 2015​
 
Tunashukuru kwa picha, huyu atakuwa PM wa Makongoro Nyerere
 
Mtu makini na mzarendo,tunalishukuru jeshi kweli mlimfudisha na akayaelewa mafuzo ya jkt ambayo ni
1. Uzarendi
2, uchapa kazi
3, uadirifi kwa viongozi
4, weredi wa kusimamia mambo
5,uwezo wa kujieleza na kueleweka

asante jkt kwa kutoa product kama hii ambayo ni nembo ya jeshi lenu kila inapopita sio wale walioenda kunywa uji tu na waliyofundishwa kuyaacha getini
 
​CAG ndo anaweza kuzungumzia hayo,Bil zaidi ya 200 zimeyeyuka na BUNGE ALILIDANGANYA.
 
no! Prez magufuli
mp makongolo

hapo vipi?

Aaah mkuu, tusianze tena ule mjadala wetu bana, ila wote wazuri tunataka wawemo ktk highest positions za nchi hii 2015. Magufuli akiwa rais tutamis ule uchacharikaji wake kwa kweli, mi napenda sana awe front line, akiwasimamia hawa mawaziri wengine hakika tunasonga mbele
 
NAJUA KIKWETE,NEC,NA CC YA CCM wakiona hizi picha wanajua watanzania makini wanataka mtu wa namna gani kwa sasa na taifa linatakiwa liende wapi,maana mtu hana makundi lakini watu makini wanatafuta vitu muhimu kuwaonyesha watanzania aina ya mtu na histori ya maisha yake sio wale wanafiki wanaojifanya wema leo kumbe juzi walikuwa wanafiki,(we need a parson bwana)
 
​CAG ndo anaweza kuzungumzia hayo,Bil zaidi ya 200 zimeyeyuka na BUNGE ALILIDANGANYA.

Wewe saizi yako hii hapa, ila katika kashfa za Zitto hili halimo na huyohuyo ndo alilizusha bungeni, wewe umekamatilia.

​
 
Last edited by a moderator:
aaah mkuu, tusianze tena ule mjadala wetu bana, ila wote wazuri tunataka wawemo ktk highest positions za nchi hii 2015. Magufuli akiwa rais tutamis ule uchacharikaji wake kwa kweli, mi napenda sana awe front line, akiwasimamia hawa mawaziri wengine hakika tunasonga mbele

asante tumekutana tena mkuu,ila uruka ya mtu haiwezi kuaribiwa na madaraka ukiona madaraka yanamuaribu jua alikuwa mnafiki tu,lakni ni bora awe rais na makongoro awe mp wake nchi hii itaenda inakotakiwa kwenda kwa viwango sahihi
 
wewe saizi yako hii hapa, ila katika kashfa za zitto hili halimo na huyohuyo ndo alilizusha bungeni, wewe umekamatilia.

​

jipange vizuri cig alikurupuka tu na hizo hera zilikutwa kwenye madeni ya wakandarai ambayo yanalipwa kwa kuzingatia mikataba yao maana pengine uwa inaenda mpaka miaka mitano jipange upya na uombe tena msaada kwa bosi wako,ila najua mshahara wa zambi ni mauti kwa kazi unayoifanya
 
Last edited by a moderator:
asante tumekutana tena mkuu,ila uruka ya mtu haiwezi kuaribiwa na madaraka ukiona madaraka yanamuaribu jua alikuwa mnafiki tu,lakni ni bora awe rais na makongoro awe mp wake nchi hii itaenda inakotakiwa kwenda kwa viwango sahihi

Tuendelee kuwaombea heri wote mkuu, wote hawa ni viongozi wazuri, ni wazalendo kwa kweli
 
Wewe saizi yako hii hapa, ila katika kashfa za Zitto hili halimo na huyohuyo ndo alilizusha bungeni, wewe umekamatilia.

​

Huwa unajitahidi sana kumtetea huyu mzee,ila unamuaknowledge Uthoh kama CAG aliye kazini au kama mstaafu,maana hizo tuhuma zimeletwa na CAG mpya na hajakanusha mpaka leo,hebu fafanua,maana hii youtube kila akitajwa magufuli upo nayo unaileta,mbona mwenyewe hajakanusha?
 
Saafi kama unaijua hii youtube, kwa taafia yako huyu CAG mpya alimalizwa na BOT ambako alidai kuna bilioni 70/- zimetafunwa mwisho wa siku issue yenyewe imekufa ndo maana nakuuliza umeona Zitto anakomaa nayo tena????

Udaku mwingine mpaka kinyaa.
 
ccm mpitisheni magufuli watanzania makini tunataka kuripa fadhira kwa kutumia kadi zetu za kupiga kura kwa namna alivyotutumika kwenye miaka yake 20 ya utumishi wake na kwa uadirifu, waenga wanasema kila mtu atavuna alichopando na ccm wasikie.
 
Saafi kama unaijua hii youtube, kwa taafia yako huyu CAG mpya alimalizwa na BOT ambako alidai kuna bilioni 70/- zimetafunwa mwisho wa siku issue yenyewe imekufa ndo maana nakuuliza umeona Zitto anakomaa nayo tena????

Udaku mwingine mpaka kinyaa.
​Yaani wewe jambo mpaka akomae nalo Zitto ndo unahisi ukweli?nakuuliza ni wapi mr.Alcohol amekanusha hii report ya CAG?na pia CAG anatoa mapendekezo tu hana mpango wa kuendelea na stori unless uwe hujawahi kukaguliwa na auditor........sasa niambie CAG wa sasa ni Utoh au Assad (Le Prof)?Yeye alisema jamaa alidanganya bunge zile bil 200+ hazikua na maelezo ya kutosha na uthibitisho,unachopaswa kuweka hapa ni YOUTUBE YA Prof Assad akikanusha alichokisema na si vinginevtyo
 
Huwa unajitahidi sana kumtetea huyu mzee,ila unamuaknowledge Uthoh kama CAG aliye kazini au kama mstaafu,maana hizo tuhuma zimeletwa na CAG mpya na hajakanusha mpaka leo,hebu fafanua,maana hii youtube kila akitajwa magufuli upo nayo unaileta,mbona mwenyewe hajakanusha?

simjui hanijui wala hatanijua kmwe maana hata nilipo sio leo kufika,watu wengi wanakurupuka pasipo kujua namna malipo ya wakandarasi yanavyolipwa,
nachokwambia kukaa kimia sio ujinga na ogopa sana mtu unampiga ngumi anakaa kimia harudishi,akiamua kurudisha meno hauna,magufuli anajua anachokifanya na anajua maadui wake wa kisiasa wanavyotumia kila namna kumuujumu pia anajua kuwa huo na mtaji wao maadui wake lakini kwake ni silaha ya ukombozi siku akianza kuwabomoa kwake ni ushindi,
siasa ndo hilivyo mkuu usimpe adui wako silaha kabla ya kuingia kwenye uwanja wa mapambano muache atambe na kujiona mbabe,

Nimeuliza swali hapa hamjanijibu,nauliza tena Prof Assad ana chuki na Mr Alcohol?????????????mnaleta maneno meeeeengi yasiyo na tija,kuna watu wangap wanatuhumiwa kwa wizi na hawaongei so kutoongea ndo ina maana hawajaiba?tuzungmze facts hayo mambo ya kukujua au lah hayana nafas hapa jamvini,wakandaras mpaka leo wanalia njaa au hujui hilo
 
​Yaani wewe jambo mpaka akomae nalo Zitto ndo unahisi ukweli?nakuuliza ni wapi mr.Alcohol amekanusha hii report ya CAG?na pia CAG anatoa mapendekezo tu hana mpango wa kuendelea na stori unless uwe hujawahi kukaguliwa na auditor........sasa niambie CAG wa sasa ni Utoh au Assad (Le Prof)?Yeye alisema jamaa alidanganya bunge zile bil 200+ hazikua na maelezo ya kutosha na uthibitisho,unachopaswa kuweka hapa ni YOUTUBE YA Prof Assad akikanusha alichokisema na si vinginevtyo

mkuu yaache majinga sasahivi yameungana
1, timu rafu
2, zitto ( msafikti na mnafiki na sijui kama alishawai kwenda jkt na kama alienda alipelekwa kunywa uji tu)
3,mengi ( ila huyu mzee tunamueshimu sana na tunaomba hasituchanganye)

mungu analipa kwa yale uliowatendea watu wake na magufuli anastahili kikombe hiki

​Yaani wewe jambo mpaka akomae nalo Zitto ndo unahisi ukweli?nakuuliza ni wapi mr.Alcohol amekanusha hii report ya CAG?na pia CAG anatoa mapendekezo tu hana mpango wa kuendelea na stori unless uwe hujawahi kukaguliwa na auditor........sasa niambie CAG wa sasa ni Utoh au Assad (Le Prof)?Yeye alisema jamaa alidanganya bunge zile bil 200+ hazikua na maelezo ya kutosha na uthibitisho,unachopaswa kuweka hapa ni YOUTUBE YA Prof Assad akikanusha alichokisema na si vinginevtyo

Kubishana na wewe ni kumaliza muda wangu bure maelezo ya Serikali yalishatolewa. Full Stop!!
 
Back
Top Bottom