Magufuli, huku si kuwa mwizi? Ameuthibitishia umma kwa kuiba nembo ya CHADEMA

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,807
Nilimheshimu sana Mheshimiwa Magufuli, Lakini, Amenitoka, Na Heshima Yangu Kwake Inaanza Kuvuja. Magufuli Ameonyesha wazi Kuwa Yeye Ni Mwizi, Tena anayepora Mali ya Wengine kwa Nguvu, Kwa Dharau na Bila hata Kujali. Na Kwa Kifupi Huo Ni wizi. Na Kwa hakika Mwizi hawezi Kuaminiwa Kuwa Rais. Kama Ameweza Kuiba Nembo Ya Chadema Ni Kitu gani Kitamzuia Kuiba Kura ili Awe Rais Na Akiwa Rais, Tunaaminije Kuwa Hataiba au Kusaidia Mafisadi wa CCM kuendelea Kuiba Rasilimali za Taifa letu? Je Watanzania, haya Ndiyo Mnayoyataka?

Kwanini Nasema Hivi, Nisiwachoshe au Kuwapotezea Muda,

1) Mtu au Kikundi kikitunga Muziki au Kazi ya sanaa ni Mali yao halali
2) Mtu au Kikundi Kikifanya Ugunduzi wa Kisayanzi au Kimfumo, ni mali yao halali (Intellectual property)
3) Mtu au Kikundi Kikibuni Nembo, au Mchoro, Ni mali yao
4) Mtu au Kikundi Kikichora Picha, Mchoro, Au Kazi ya Uandishi, Ni mali yao.

Magufuli anajua Sheria hii, Hata Kama Wenye Ugunduzi huo hawajasajili bado, Kama Kuna Ushahidi wa Kutosha Kuwa wao ndio wavumbuzi NK, Ni mali yao.

Nampa Magufuli 24 hrs Awe ameomba Radhi, Na kisha aache Kutumia Nembo ya M4C, Vinginevyo Nitatengeneza Video ya Dk zisizozidi saba, itakayopukutisha maelfu ya wapigakura wake wanaofikiri. ( Independents )Itadamage Campaign yake Kinoma haijawahi Kutokea. Kusema Magufuli for Change sio sawa na Kutumia Nembo tena kwa Kuichukua ilivyo na Kuiharibu!
 
MAGUFULI4CHANGE.jpg CHADEMA M4C ORIGINAL.jpg
 
Back
Top Bottom