Magufuli, hawa nao wakumbukwe

kajaga88

JF-Expert Member
Jul 7, 2013
228
31
Rais wetu mchapakazi, jaribu kuangalia masuala hay a ktk idara ya elimu.
Kwanza, walimu wastaafu toka mwezi was 6 mwja Hui hawajalipwa, mfno wilayan Ukerewe.
Pili, walimu wamepanda madaraja toka mwaka jana hadi mwezi wa sita mwaka-jana, hadi Leo hii wanadai areas za Misha Ara hawajipwa, mfano kilosa. Je hawa walimu unajua kama wanadai haki zao? Kama tatzo n wakurugenzi, utumishi, work on them
 
Back
Top Bottom