Magufuli hausiki bomoabomoa ya Manzese

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,285
7,143
jana jioni lilikuwepo zogo na vijikao pale MANZESE BIG BRAZA, personally nilikuwepo

1.Ushirika wa soko litakiwa kubomoa wenyewe line (mabanda) ya mbele tu kwani vimejengwa chini ya 3 phase umeme.

2.Waliwekeana deadline mara nnee ila viongozi wa soko walicheza rafu (rushwa) na wamiliki wa front line banda ambao ndio hasa matajiri wa hilo soko wasikubaliane na hiyo oda ya kubomoa

3.Manispaa waliwataarifu viongozi wa soko kuwa wanamhofia MAGUFULI in case akifika Manzese kwa hiyo wawai kutekeleza hiyo oda.Again viongozi wa soko wakakaa kimya kwa washirika wao.

4.Manispaa ikaamua kuvunja soko lote na siyo front line vibanda kwa kuwa ni hifadhi ya barabara

HAPO MAGUFULI HANA LAWAMA NA WANASOKO WANAWALAUMU KWA UWAZI VIONGOZI WAO WA SOKO WALIOKULA RUSHWA ILI FRONT LINE BANDA ZISIVUNJE
 
Ndio mana yake halafu pia watu wa mipango miji wamelala usingizi wa pono nimewahi kuongea na afisa mipango miji wa kinondoni sikuamini masikio yangu yaani hajui afanye nini ili apange mji mana anasema hana budget!!!
 
Mama wa Mipango miji pale manispaa Kinondoni kilaza kweli....kazi yake kupakata wanaume za watu...hana lolote wala chochote...ndo maana kama ningepewa dakika mbili za kushauri serikali ningependekeza hawa watu wasiofanya kazi zao vema wahamishwe...
 
Looh makubwa haya !
 
Sasa kupendekezwa kwako wahamishwe unadhani kungesaidia nini?
 
Back
Top Bottom