Kasema ukweli kuwa kuna mambo hawezi kupambana nayo akiwa ndani ya ccm, bahati mbaya hao hao waliotibua ndani ya ccm wamehamia vyama mbadala mbaya zaidi nako wameshika hatamu za uongozi, bora tuache akomae nao humo humo.
Hivi kweli leo Tundu Lissu ni wa kukaa meza moja na Lowasa? Hapana tubaki tu na Magufuli atindue atakapoweza basi.
Si msome muelewe mada? Je kama wamehama si ndio ingekuwa rahisi kuwaanika hadharani na kuwashughulikia? Usijidanganye au kujitekenya na kucheka mwenyewe, ndani ya CCM kuna makaburi hata mimi ningenshauri President aachane nayo cha msingi ni kuziba njia zote labda waruke ukuta( impossible mission).Kasema ukweli kuwa kuna mambo hawezi kupambana nayo akiwa ndani ya ccm, bahati mbaya hao hao waliotibua ndani ya ccm wamehamia vyama mbadala mbaya zaidi nako wameshika hatamu za uongozi, bora tuache akomae nao humo humo.
Hivi kweli leo Tundu Lissu ni wa kukaa meza moja na Lowasa? Hapana tubaki tu na Magufuli atindue atakapoweza basi.
Wrong data,Ukisikiliza kwa maneno wanasema wanachukia ufisadi na wana wanawashughlikia. Jiulize kina nani hao wanao shughlikiwa?
Mafisadi wa awamu hii ni wale wanao Fanya ufisadi wa wazi wakijua ukithubuti kuwasema utaishia jela.
Kashfa za ufisadi wakati huu zinazimwa kimabavu, Kama upo kushoto unamalizwa na kama upo nao unalindwa kwa gharama yoyote.
Wote tumeshuhudia lugumi, sakata la UDA, sakata la matumizi mabaya ya fedha za umma katika miradi ambayo ipo nje ya bajeti, sakata la MV Dodoma, etc.
Ukiambiwa watu wanapiga pesa huwezi kuamini kwa sababu hao hao wanao piga pesa ndio wanatumika kuwanyanyasa wale walio kinyume nao kwa kuwapakazia jambo lolote lililo baya na kuwatangaza kama mafisadi. Joseph msukuma kaa vizuri.
Tutakutana na viongozi wenye kiburi na dharau ambao hawajawahi kutokea toka tupate Uhuru.
Kazi yao ni kuwa aminisha wananchi kuwa wanafanya kazi na hawana msalia mtume kwa kujitumbua wao wenyewe kama sehemu ya propaganda.
Sioni dhamira yoyote ya kupambana na ufisadi kama kuna ufisadi usio weza kuguswa kutokana na nani kafanya.
Kama huamini jiulize Lipumba analindwa kwa sh. ngapi kwa siku, ndio utajua kweli tumerogwa.
Nafikiri neno ulilodhamiria kutumia ukimanisha kofia ngumu za kuvaa wakati wa kuebdesha pikipiki ni "helmets" na siyo "elements". Kwa makosa tunajifunza.Ni kweli kabisa. Ma traffic huku Musoma wanashika abiria wasio na elements na wanavaa kienyeji. La kushangaa abiria anashikwa hajavaa elements na anapandishwa kwenye pikipiki ya maaskari isiyo na elements.. Hii nchi ya maajabu sana
Serikali imedhibiti ufisadi mkubwa ulikuwa unafanyika kwenye mikataba.Saiv upigaji ni mkubwa sana.trafiki tu wanakamua pesa sio mchezo mabarabarani huku
Mkuu, nasikia ati mahakama yetu pendwa imekosa kesi za Kusikiliza..Subiri mahakama ya Mafisadi itakapoanzishwa July...hapo ndo utajua kama vita hii ni against mafisadi au ufisadi au both (mafisadi na ufisadi)