Magufuli: Hakuna haja ya hivi vyama vya siasa

Ni kweli aliyasema Leo wakati wanazindua ujenzi wa barabara wakiwa na marais wa EAC. Jamaa anaongea kinachokuja mdomoni tu
Una matatizo ya kusikia au kuelewa wéwe sio bure! tafuta ushauri wa daktari.
 
Mm mdau, mimi ni mmoja wa wale wasiunga mkono style ya JPJM huku nikifurahiswa na matokeo ya style hiyo. Hata hivyo, nafikiri umemwelewa JPJM visivyo. Nilichosikia amesema ni kwamba wananchi hawahitaji vyama bali wanahitaji maendeleo. Huu ni ukweli mtupu japo ni rahisi kumwelewa ulivyomwelewa.

Kwa nyongeza tu, JPJM si mwana siasa na si mwana diplomasia na akiachwa kuzungumza bila manuscript (extemporaniously) lazima utarajie kuwa ataropoka, na ndivyo alivyofanya leo.

Tulimchagua wenyeee! Sasa tumvumilie!

..haya maneno Dr.Magufuli amekuwa akiyazungumza kwa muda mrefu sana.

..inaelekea hakuna mtu mzima aliyemuita pembeni ni kumkanya kuwa amekosea.

..sasa ole wetu aje kuyafanyia kazi maneno hayo. sasa hivi wana-ccm wanafurahia kwasababu wanaoumizwa na wapinzani. huwezi kujua siku Magufuli akiona ccm ni kikwazo kwake atawafanya nini.
 
Hata hii ICT unayotumia imeletwa na wazungu, mwaafrika jpm amewahi kuleta nini, nenda kalipwi kwa kupotosha
Sio kila kinacholetwa na wazungu ni lazima ukipokee, mbona nchi nyingi za kiafrika zinaupinga ushoga hadharani?. Tuhubiri maisha chanya yenye muelekeo chanya na sio yale yanayoongozwa na uhasama wa kipuuzi.
 
Na kitengo kilimchagua nani?
Unataka kusema Tanzania hufanya uchaguzi?
Nimewasikia wengi wanasema Kivuitu kwa kawaida huwa ana mshindi wake mfukoni, anachofanya ni maigizo tu. Kama "tulimchagua" mgombea ambaye "si mwanasiasa" basi Tanzania ni nchi ya DOMOkrasia la kweli.
Katika nchi hii na kwa katiba hii iliyochoka na kuchokwa; na kwa sheria zilizopo opinion za "kitengo kilimchagua nani" null and void yaani ni irrelevant. Huwezi kuwaambia wananchi waliunga mstari wakapiga kura kuwa "kitengo" kilikuwa na mtu wake na eti kupiga kura ni kubariki tu mambo ya "kitengo". Baada ys "Kivuitu" wetu kumtangaza JPJM tunasema watanzania wamemchagua. Na zingatia pia kuwa si lazima JPJM awe chaguo la Mungu ila Ameruhusu tuongozwe naye kama wana wa Israeli walivyo mng'ang'ania Sauli na Mungu akaruhusu.

Sisi wajibu wetu ni kuitii mamlaka ya serikali ya JPJM licha ya utashi a itikadi zetu za kidini na au kisiasa.
 
Kutii tu wakati unajua uvuitu na ukitengo umefanyika ni upoyoyo. Kama hujui maana ya upoyoyo itisha NyaniNgabu akusaidie.
 
Ni kweli aliyasema Leo wakati wanazindua ujenzi wa barabara wakiwa na marais wa EAC. Jamaa anaongea kinachokuja mdomoni tu

Last sentence, the best description ever since the guy attained power
 
Naona mnamuwekea JPM maneno kinywani kwake. Sitegemei na siamini raisi awe na ufinyu wa kufikiri kiasi hicho.
 
Anasema kinachohitajika ni maendeleo ya wananchi. Km kuna wengine bado wanategemea democracy Tz labda waombe wawepo baada ya miaka 200 ijayo. Vinginevyo tafuteni njia nyingine, inawezekana tuna laana au kuna makosa ya evolution kwa waafrika
Tunakushukuru sana mkuu .
 
Anasema kinachohitajika ni maendeleo ya wananchi. Km kuna wengine bado wanategemea democracy Tz labda waombe wawepo baada ya miaka 200 ijayo. Vinginevyo tafuteni njia nyingine, inawezekana tuna laana au kuna makosa ya evolution kwa waafrika
Haya aliyasem zairi shairi
 
Yupo sahihi kabisaaa!!!

Afrika hakuna Demokrasia

Hakuna demokrasia,kwasababu demokrasia haiwezi kutekelezwa na watu au vyama vyenye uchu wa madaraka kama CCM.

Heri wakoloni waje,si kututawala tena

Bali waje kutufundisha demokrasia kwa vitendo,

Hata dhahabu tutawapa.

Waafrika hatuna laana,tuna ujinga wa kurithi.

Ujinga mpaka kwenye damu.
Wew ni mpumbavu kabisa huwezo tetea ukoloni tukakuchekea mbwa kabisa
 
Tukitaka maendeleo ya kweli tunahitaji kuwa na rais kama mheshimiwa rais Magufuli.
 
Mm mdau, mimi ni mmoja wa wale wasiunga mkono style ya JPJM huku nikifurahiswa na matokeo ya style hiyo. Hata hivyo, nafikiri umemwelewa JPJM visivyo. Nilichosikia amesema ni kwamba wananchi hawahitaji vyama bali wanahitaji maendeleo. Huu ni ukweli mtupu japo ni rahisi kumwelewa ulivyomwelewa.

Kwa nyongeza tu, JPJM si mwana siasa na si mwana diplomasia na akiachwa kuzungumza bila manuscript (extemporaniously) lazima utarajie kuwa ataropoka, na ndivyo alivyofanya leo.

Tulimchagua wenyeee! Sasa tumvumilie!
Kwanini unasema sio mwanasiasa!!!? Mbona kabla ya urais alikuwa mbunge? Na nijuavyo mimi ubunge ni siasa per se.
 
Back
Top Bottom