Huyu anaejiita mtumbua majipu atatufikisha pabaya sana.....nanusa harufu ya kubadili katiba ili aendelee kubaki madarakani. Ni suala la muda tu. Dalili zitaendelea kuonekana na ambao hawajaziona wataziona kadiri siku zinavyosonga.Anasema kinachohitajika ni maendeleo ya wananchi. Km kuna wengine bado wanategemea democracy Tz labda waombe wawepo baada ya miaka 200 ijayo. Vinginevyo tafuteni njia nyingine, inawezekana tuna laana au kuna makosa ya evolution kwa waafrika
Jina lako linafanana kwa kiasi kikubwa na unkachofikiriaUkiwa na vyama opportunists kama Chadema ni wazi utakuwa na hitimisho la namna hii...Chama chenye miaka zaidi ya 20 bado kilitegemea kapi lenye tuhuma za ufisadi kuwa mgombea...huu ni ulofa na upumbavu!
HahhahahwUkiwa na vyama opportunists kama Chadema ni wazi utakuwa na hitimisho la namna hii...Chama chenye miaka zaidi ya 20 bado kilitegemea kapi lenye tuhuma za ufisadi kuwa mgombea...huu ni ulofa na upumbavu!
Hilo nalitambua na nimeshaelezwa mara nyingi hapa jamvini...rudi kwenye hojaJina lako linafanana kwa kiasi kikubwa na unkachofikiria
Umuhimu wa Vyama vingi Tanzania ni mkubwa sana kama wangekuwa wanafanya yanayopaswa lakini Uoinzani kwao wametafsiri kupinga kila kitu. AgrrrrrIkiwa mtu km magufuli ambaye ni mwanasiasa kwa miaka zaidi ya 20 hajui umuhimu vyama vya siasa itamchukua mamangu ambaye ni mama wa nyumbani na kijijini muda kiasi gani kujua umuhimu vyama vya siasa ktk maendeleo ya nchi?
hata mimi naona hivyo. watutsi waroho wa madaraka sana.Huyu anaejiita mtumbua majipu atatufikisha pabaya sana.....nanusa harufu ya kubadili katiba ili aendelee kubaki madarakani. Ni suala la muda tu. Dalili zitaendelea kuonekana na ambao hawajaziona wataziona kadiri siku zinavyosonga.