Magufuli hakujiandaa kuwa rais, atatuangusha tu

Watu wamechoka kweli naona wanatoa ya moyoni. Mungu sikia kilio chetu tuongezee busara na moyo wa uvumilivu tuendelee kuwa tuyaone mengi na kuyavumilia. Pia tupe busara tufanye maamuzi ya kizalendo na siyo ya chuki!
 
Ukitaka jibu ya hilo swali jiulize je waziri wa ujenzi sasa hivi yuko wapi??? Its like amevanish kabisa hapo ndio utajua kuwa huyu hakutakiwa kuwa mkuu wa kijiji bali waziri....wait hata hivyo kasema anatamani kuwa IGP
 
Nilimsikia siku ile ya mkutano wake na waandishi kuwa urais alikuwa anabip tu ikajipiga hivyo alikuwa anafanya utani lakini ikawa kweli. Ukiacha hiyo ya ujenzi nafasi nyingine anayoijutia kuikosa ni kuwa IGP Ai wishi ai kudu bi ai gi pii
 
uenyekiti wa chama anapwaya.
uraisi anapwaya.


wizara ya ujenzi aliwaambia watu wapige mbizi. huyuu arudishwe kwenye samaki ndo kunamfaa.
 
Inaonekana mmepunguza maombi, mwenyewe anawasisitiza kila wakati mumuombee hamumuelewi. Zidisheni maombi ndugu. Hili suala la Hapa kazi tu ni gumu, bila maombi kwa Mungu ni zigo la misumari.

Tumeomba na tunaomba na tutaomba sana kwa ajili yetu wenyewe sio hao wanaoomba omba kuombewa kila sekunde majibu ya maombi yanakuja taratibu kwa mfano hili la DAUDI ALBERT BASHITE .
Maana mtu hawezi kuchezea draft majina ya kwenye maandiko matakatifu mara leo uchezee jina la Mtume Paul kesho Mfalme Daudi wee ukiwa kama nani? laana tupu

Na bado tunaendelea kuomba kwa ajili yetu bila ukomo hadi kieleweke
 
JF kuna watu wanaona mbali,yaani tangu mwaka juzi walishaona hafai hata uganga wa kienyeji
GENIUSES
 
Kila ninapomsikia Magufuli akisema Sitawaangusha nabaki kucheka tu.

Sote tunajua Magufuli anataka kuwa rais kwa 'ajali' tu..hana dira wala maono ya kiongozi mkuu wa nchi zaidi ya kusubiri ilani ya CCM kama anavyosema kila siku.Kwa kukosa dira binafsi ni wazi atatuangusha tu kwa sababu HAKUJIANDAA.
Mwaka wa 2 huu yuko Magogoni lakini bado anaongea neno hilohilo akifikiri bado yuko kwenye kampeni za uchaguzi, sorry!
 
Atakapoanza kampeni tarehe 22 mwezi huu ndipo mtajua kuwa jamaa alikuwa amehifadhi nondo a.k.a madini yake na atakuwa akiyatoa hadi nyie watu wa chadema na ukawa mtabadili uamuzi na mtampigia kura wenyewe. Kwani si hata mkapa alipopitishwa na ccm mlikuwa mnamdharau hivi hivi lakini aliposhika tu nchi je mafanikio tuliyaona au hatukuyaona? Psychologically binadamu wamegawanyika katika makundi haya mawili ya kitabia " extroverts " na " introverts " ambapo extroverts ni waropokaji, wazungumzaji na wataka sifa na publicity na hapa lowassa wenu ndiyo mahala pake lakini introverts huwa ni wataratibu, wana uhakika, wanajiamini na huwa na upeo mkubwa na akili nyingi na hapa magufuli ndiyo mahala pake.
Heshima kwako mkuu, bado unaamini ulikuwa sahihi hadi leo au unaungana na mleta uzi?
 
.
46fdd8a6f45cdccd249ed45cb0f841b4.jpg
 
Yamekuwa kweli Mkuu. Kuwa na Phd uchwara ya kubangua korosho na kuongoza nchi haviendani kabisa.

Kila ninapomsikia Magufuli akisema Sitawaangusha nabaki kucheka tu.

Sote tunajua Magufuli anataka kuwa rais kwa 'ajali' tu..hana dira wala maono ya kiongozi mkuu wa nchi zaidi ya kusubiri ilani ya CCM kama anavyosema kila siku.Kwa kukosa dira binafsi ni wazi atatuangusha tu kwa sababu HAKUJIANDAA.
 
Back
Top Bottom